Kashfa Nyingine nne nzito Zinakuja

Kashfa Nyingine nne nzito Zinakuja

Mkuu inasikitisha Sana TZ imekua Kama Nyumba isiyo na wakaaji tuchukue maamuzi magumu 2015...
Kumbe lusungo huwa una akili siku zote ulikuwa wapi kuzimia naona tangu ishu ya escrow unajadili kitaifa zaidi au ww ni yule mwanasheria wa Tanesco aliyefukuzwa kazi na kubambikiwa kesi?
 
Last edited by a moderator:
Mbona kamati yenyewe imejaza wajumbe vilaza?? Inahitaji isheheni wajumbe wenye uwezo wa kuthubutu.
 
Hii ya NBC napendekeza ndo ipewe kipau mbele kuliko hata zingne. waliuziana kishikaji sana hii bank ndo maana hadi sasa inazidi kuzolota ni kwa sababu ya laana kutoka kwa wananchi
 
Zileteni tu tuzisikilize, tushazoea kusikia vitu vizito then vinayeyuka kama barafu. Ndoho sheeda!

this is inferiority complex,,,if somethin bad delivererd/spoken out,we(majority) should show express our feelings and take action......
 
Hata hizo nazo bunge litashauri mamlaka ya uteuzi ifanyie kazi. Sidhani kama kutakuwa na kitu kingine kipya!
 
Kumbe lusungo huwa una akili siku zote ulikuwa wapi kuzimia naona tangu ishu ya escrow unajadili kitaifa zaidi au ww ni yule mwanasheria wa Tanesco aliyefukuzwa kazi na kubambikiwa kesi?
kwenye escrow hata mwigulu alibadilika
 
Ndio kilichobaki. Mkiambiwa CCM wamechoka kuongoza hii nchi, mnabisha.
Ova
 
Pinda hachomoki kwenye hili its a matter of time.
 
Kama JK ni msikivu avunje Baraza LOOOOTE

Kwani kwenye kulipa bill za umeme, maji, nyumba, shule, chakula na matibabu kuna ushabiki? Afadhali hata wanajeshi wana military duty free shop.

Miltary duty free shop nako ni ka-uchochoro ka kuingiza bidhaa bila ushuru.Pawe na udhibiti wa wazi.Na kuangalia aina ya bidhaa. Haiingii akilini kwa kuingiza juice ya embe isiyo na ushuru wakati zinazalishwa na Bahressa .
 
this is inferiority complex,,,if somethin bad delivererd/spoken out,we(majority) should show express our feelings and take action......
support and this is what makes our sense of homour
 
Back
Top Bottom