Uzuri Wa hizi scandal wanaoziendesha ni wanaCCM wenyewe ndio maana zinakuwa na mshindo mzito
angalia usije vunja simu yako kwa hasira
Zitto washughulikie na ufisadi Wa bomba la gesi......
Masikini nchi yangu TZ......
Kuna jamaa mmoja mwenye asili ya wale wale akina nanihiii, yeye huingiza sukari akidai kuwa ni raw materials kwa ajili ya kutengenezea juice zake na vitu vya namna hio (kumbuka raw materials nyingi hazina kodi) kwa hio huenda mahali fulani kwenye moja ya magodauni na viwanda vyake na kuipaki kama sukari kamili na kuiuza ....... jamaa anapiga pesa ahdi basi lusungo tpaul njooni na mimi nimeingia kwenye PAC ntakuja na report yangu na maazimio yangu
Kwenye uchaguzi wanatuibia kura wakiingia madarakani wanatukaanga.......Inaniuma sana
mkuu kwanzia hii scandal ya escrow naona umeacha ushabiki sasa unafikiria kama binadamu