Kashfa: Mradi wa nyumba 73 za ndugu Masamaki wa TRA

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
6,819
9,173
Habari wadau wa JF,

Mmoja wa watumishi wa TRA aliyesimamishwa kazi Ndugu Masamaki Ana mradi Mkubwa Kama wa NSSF.

Inakuwaje mtumishi wa umma anakuwa na fedha kiasi hiki?

Ndio maana tunasema makontena hayakupotea Bali yameenda kwenye matumbo ya watu.

Magufuli tunaomba uzichukue hizi nyumba wakae walimu au polisi na ziwe Mali ya serikali.

Fedha nyingi zinapotea na kwenda kwenye matumbo ya watu wachache.
 
Ndio maana katika msisitizo ule uliotolewa na PM kwa igp mangu , ni pamoja na kukagua mali zao zote
kuona kama zina uhalali au ndio zina magumashi kibao ndani yake.
 
KWAPICHA HIZO NAWAZA.SANA.SANA.NN.KINAENDELEA.NA.IGP N.HUUUHuYU AU MWINGINE...
 

Attachments

  • Salaah 5 (1).jpg
    Salaah 5 (1).jpg
    43.1 KB · Views: 13,610
  • Salaah 6.jpg
    Salaah 6.jpg
    34.9 KB · Views: 16,362
  • Salaah 7.jpg
    Salaah 7.jpg
    24.3 KB · Views: 12,228
KWAPICHA HIZO NAWAZA.SANA.SANA.NN.KINAENDELEA.NA.IGP N.HUUUHuYU AU MWINGINE...
Fafanua basi, je masamaki ndiyo yupi, na mangu yupi hapo? Je huyo jamaa mshombe siyo awadhi wa homem shopping center?
 
Wakuu hizo nyumba alizijenga wapi? .Manake anatisha. Je? Mh Sitta Mh Mwakyembe awakugundua UFISADI huo jamani
 
Back
Top Bottom