Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,819
- 9,173
- Thread starter
- #21
Mkuu wa Chuo cha UDOM amejenga kijiji hapa Dom
Muanike hapa ili kina magufuli wamuone.
Mkuu wa Chuo cha UDOM amejenga kijiji hapa Dom
Weka picha mkuu
Siyo yeye! Huyo alipewa Ubalozi WA heshima Hong Kong Na Kikwete mwaka Jana, Ni mmiliki WA Home Shopping Centre!
Habari wadau wa JF,
Mmoja wa watumishi wa TRA aliyesimamishwa kazi Ndugu Masamaki Ana mradi Mkubwa Kama wa NSSF.Inakuwaje mtumishi wa umma anakuwa na fedha kiasi hiki?
Ndio maana tunasema makontena hayakupotea Bali yameenda kwenye matumbo ya watu.
Magufuli tunaomba uzichukue hizi nyumba wakae walimu au polisi na ziwe Mali ya serikali.Fedha nyingi zinapotea na kwenda kwenye matumbo ya watu wachache.
Wakuu hizo nyumba alizijenga wapi? .Manake anatisha. Je? Mh Sitta Mh Mwakyembe awakugundua UFISADI huo jamani
Jaribu kutuaminisha basi hata kwa kupapasa
Habari wadau wa JF,
Mmoja wa watumishi wa TRA aliyesimamishwa kazi Ndugu Masamaki Ana mradi Mkubwa Kama wa NSSF.Inakuwaje mtumishi wa umma anakuwa na fedha kiasi hiki?
Ndio maana tunasema makontena hayakupotea Bali yameenda kwenye matumbo ya watu.
Magufuli tunaomba uzichukue hizi nyumba wakae walimu au polisi na ziwe Mali ya serikali.Fedha nyingi zinapotea na kwenda kwenye matumbo ya watu wachache.
kwa hiyo wewe mpuuzi unataka rasilimali za taifa ziibiwe mpaka lini ndipo uamini? acha upumbaFU mkuu.
Wakuu hizo nyumba alizijenga wapi? .Manake anatisha. Je? Mh Sitta Mh Mwakyembe awakugundua UFISADI huo jamani
Nadhani picha si evidence. Angalia nani hapo kajipanga kupigwa picha? Aliyejipanga ndiye mwenye interest na picha. Unaweza pigwa picha ukiongea na jambazi.KWAPICHA HIZO NAWAZA.SANA.SANA.NN.KINAENDELEA.NA.IGP N.HUUUHuYU AU MWINGINE...
Hugo mwarabu Toledo LA mwisho ndo kanso salaaaa mtoto was SMG . geuza hyo smg
Mbona hamkusema hayo wakati Mh Lowasa anapiga dili akiwa mtumishi wa umma mpaka ananunua nyumba Ulaya na kujilimbikizia mali nyingi mno hapa nchini?
Huyo kwenye picha aliye na mwakyembe ndie masaki?
Fafanua basi, je masamaki ndiyo yupi, na mangu yupi hapo? Je huyo jamaa mshombe siyo awadhi wa homem shopping center?
KWAPICHA HIZO NAWAZA.SANA.SANA.NN.KINAENDELEA.NA.IGP N.HUUUHuYU AU MWINGINE...
Achunguzwe na Asulubiwe..Mkuu wa Chuo cha UDOM amejenga kijiji hapa Dom