Kashfa Mchanga wa madini; wafuatao nao wachunguzwe

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, sasa kila jambo lipo wazi kuwa tunaibiwa na tumeibiwa vya kutosha.

Napendekeza wafuatao waingizwe kwenye kurunzi la uchunguzi kwa sababu walisimama kidete kupinga hili jambo na kubeza uundwaji wa kamati.
  1. Zitto Zuberi Kabwe na wanasiasa waliotetea hujuma hii kubwa
  2. Vyombo vya habari (wachambuzi na waandishi wa makala)
  3. Richard Kasesera
  4. Aliyekuwa Katibu Nishati na Madini (Jairo)
  5. Mawaziri waliopitia wizara hii wote kuanzia 2005
  6. Ongezea orodha
 

Raisi mstaafu JK
 
Hao wote na wengi wa north pole ni wana mtandao.
Zitto ajitafakari km kweli neno uzalendo analotumia anamaanisha kweli.
 
7:Marais wote waliopita
 
G Mallisa
 
Katika hili JPM anaingia kwenye orodha viongozi wazalendo wa kweli wa nchi hii! Kwenye orodha ya viongozi wazalendo wa kweli wa kwanza ni Mwalimu Nyerere wa pili ni Sokoine wa tatu ni JPM! Sikumbuki kama kuna wa NNE! Karibuni tukumbushane kama kuna wengine!
 
wachimbaji wadogowadogo wanawauzia wale maajenti wa wawanunuzi walioko dar. bei ya kununulia ni ile ya Dubai. jiulize kama mtu analipa kodi zote na anapitisha mzigo kihalali atapata Faida gani akimlipa muuzaji bei ya Dubai kule kijijini geita? kuna namna. My president leave no stone unturned. wizi siyo kwenye mchanga tuu
 
Reactions: SDG

Msanii,unadhani JPM anaweza kufukua MAKABURI??Maana kuna waliokuwa MARAIS humo!!!!!!!
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…