GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,032
- 126,485
Katika Hali Isiyo Ya Kawaida Na Ambayo Wengi Hamkuijua Ni Kwamba Jana Katika Ule Mkutano Wa Simba Rais Wa Simba Alifanyiwa Mtego Wa KIMAFIA Na Siyo Wa Kiungwana Baada Ya Kuingizwa Mtegoni Na Wajumbe Wawili Wanafiki Wakiongozwa Na Ally Sullu Ambaye Alipewa Hayo Maagizo Na Makamu Wa Rais Kaburu.
Nini Kilifanyika?
Wakati Idadi Ya Wanachama Wahudhuriaji Ikiwa Bado Ni Ndogo Na Ni Kutokana Na Kaburu Kuwashawishi Watu Wake Wasije Mkutanoni Ilibidi Viongozi Wajadiliane Jinsi Ya Kuhakikisha Kolamu au Hakidi Inatimia Na Itaripotiwa Vipi Ktk Majumuisho Ili Watu Waamini Kuwa Mkutano Ule Ulihudhuriwa Na Wanachama Wengi Na Wakati Wanajadiliana Hivyo Kaburu Akamtonya Kisirisiri Mjumbe Sullu Kuwa Amrekodi Aveva Ambaye Na Yeye Aveva Bila Kujua Kuwa Anaingizwa Mtegoni Hao Wajumbe Wakawa Wanamshawishi Kuwa Iandikwe Idadi Kubwa Ya Wahudhuriaji Ambapo Baadae Alisikika Rais Aveva Akisema Huku Akiwalazimisha Hao Wajumbe Kuwa Waandike Waliohudhuria Ni Wanachama Zaidi Ya 500 Wakati Ukweli Waliohudhuria Jana Walikuwa Ni Wanachama 243 Tu.
Baada Ya Kutimiza Azima Yao Hiyo Huyo Mjumbe Kwa Maagizo Ya Kaburu Akaagizwa Kuwa Ahakikishe Anaisambaza Hiyo Clip Ya Kumuumbua Rais Aveva Kwa Vyombo Vya Habari Na Wameanza Na E FM Radio Ambapo Tayari Clip Hiyo Imekwenda Hewani Huku Mtangazaji MNAFIKI Na MSHABIKI na MWANACHAMA Wa Yanga Omary Katanga Akiifurahia.
Aveva Kama Usipomaliza Matatizo Yako Na Kaburu Anakwenda Kukuumbua Zaidi Ya Hiki Kitendo Cha Udhalilishaji Alichokufanyia Jana MKUTANONI Kitaani Masaki.
SIPENDI UNAFIKI na Nimelazimika Kuwasilisha Hili Na Ushahidi Wa Hili Lipo E FM Radio Kwa Omary Katanga Na Kesho Ktk Kipindi Chao Cha Sports Headquarter Watairudia Hiyo Clip Hivyo Mnaodhani GENTAMYCINE Huwa Nakurupuka Fuatilieni Hili Jambo Na Narudia Tena NINA UHAKIKA NALO Kwa 100% Kuwa LIMETOKEA na LIMETENDEKA!