hivyo ndivyo ilivyoUsijekuta Askofu alinunua shamba akaandika jina la mdogo wake sasa watoto wanataka kumdhurumu mzee.
apewe chake kipii , askofu kalinunua hilo shamba, kama yy mary alipewa nafasi ya shule akadharau kutegemea urithi imekula kwakeHuo Ni mfumo dume uliojengeka Tu,kwani wanaume wangapi wanaachiwa Mali na wanaishia kwunywea viroba na piua?na watoto wa kike wangapi wanasimamia Mali za urithi,labda babaake aliona ndio mwenye akili kuliko wengine thats y akamuachia cha msingi Mary apewe chake,
Lazima ukimbie kwakuwa umeshajijua kuwa una ubongo wa Panya. Wewe unatakiwa uelewe kuwa Magazeti ya Bongo sio reliable source ya taarifa has a zinazohusu kashfa. Utajuaje kama mwandishi aliyeandika hiyo stori hana ugomvi binafsi au hajanunuliwa na adui binafsi wa huyo Askofu?Adhabu pekee inayokufaa ni kukupuuza kwa pumba unazoongea. Halafu pia usimchukulie Askofu ni malaika, naye pia binadamu anaweza fanya dhambi vilevile. Ninakuahidi kukupuuza kwa comment yoyote utakayotoa kwenye thread hii.
Nani wasiogombea Mali? Tena ishia hapo hapo stereotypes zako!Well said