Mtume Ivuga mwenzetu bado una amani? Sie ilishapotea siku nyingi, tuna vita nyingi zisizoonekana.jamani tusivunje hii amani yetu tuliyopewa na Mungu
jamani tusivunje hii amani yetu tuliyopewa na Mungu
Safi sana naomba isambae Dar yote na nchi yote
Dodoma kimeshawaka hii filling station ya Shabiby karibu na roundabout, watu wanarusha mawe kwa kwenda mbele.Du ningefurahi sana kama hali hii ikiwaka moto mpaka huku Dodoma makao makuu ya wasaniii
Katika post zooooote zaidi ya 100 sijaona SULUHISHO zaidi ya malalamiko tuuuuu. Mtaendelea kulalamika hadi lini na mnamlalamikia nani?????????Humu jamvini kuna watu ni mahiri sana wa kuandika huku wamejificha maofisini wakila kiyoyozi.
Natoa suluhisho sasa nini tunatakiwa kufanya:
Wauza mafuta wakiendelea kugoma, basi kesho asubuhi na mapema tukutane pale ubungo mataa. Naamini hapo ni makutano ya maeneo mengi ya jiji. Hakuna haja ya mkakati mwingine, cha kufanya kitapatikana kesho hiyohiyo saa 12 asubuhi...Yapo mengi tu ya kufanya...!
Tuache maneno sasa tufanye vitendo kama wao wanavyotutenda.
Vinginevyo hatuna haja ya kulalamika tena, na tufunge madomo yetu milele.
Mogorogoro ni mkoa mpya?We unadhani tatizo hili ni la Dar tu?! Nipo Mogorogoro nimeona Lake Oil ndo wanauza mafuta .KAMA UNATOA SOLUTION JIKITE KWA TANZANIA YOTE. Me nasema vijana Tanzania yote tuhamasishane kupitia FB na JF Kila mkoa tupange meeting point kwa ajiri ya kufanya maandamano makubwa.
Tangulia dada nakujaTwende tukawaunge mkono kaka. Kukaa hapo kwenye laptop haisaidii
<br />Nataka waendelee kugoma nione watachukuliwa hatua gani, hii nchi bana.
Tuondolee uwendawazimu wako, kutubebesha vidumu kwenye magari ni mafaanikio? Mgao wa umeme miaka mitatu kati ya sita aliyotawala JK ni mafanikio. Acha kujikomba wakati watu tumepagawa, nitakudunda ukileta za kuletaTusiyabeze mafanikio ya CCM jamani!
Mh! Haya mambo huanza pole pole mwishowe utaskia nchi nzima watu wameingia mtaani.
Umemwelewa ndivyo sivyo Mkuu Ivuga. Huyo ni Mpambanaji.huo ndo ujinga uliotufikisha mpaka hapa kwa kuwa na mawazo kama ya kwako
hatutaki uhuni tanzania.
Serikali iwache biashara iwe huria.
Wanaopiga mawe wakome mara moja.wasituharibie swaumu zetu