Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

Hawa watu wa mafuta ndio wanao run NEW WORLD ORDER CONSPIRACY. kwa maana hiyo serikari ikifanya ujinga hapa, ndio unaweza ukawa mwanzo wa anguko kuu la serikali.
 
Katika post zooooote zaidi ya 100 sijaona SULUHISHO zaidi ya malalamiko tuuuuu. Mtaendelea kulalamika hadi lini na mnamlalamikia nani?????????Humu jamvini kuna watu ni mahiri sana wa kuandika huku wamejificha maofisini wakila kiyoyozi.

Natoa suluhisho sasa nini tunatakiwa kufanya:
Wauza mafuta wakiendelea kugoma, basi kesho asubuhi na mapema tukutane pale ubungo mataa. Naamini hapo ni makutano ya maeneo mengi ya jiji. Hakuna haja ya mkakati mwingine, cha kufanya kitapatikana kesho hiyohiyo saa 12 asubuhi...Yapo mengi tu ya kufanya...!
Tuache maneno sasa tufanye vitendo kama wao wanavyotutenda.
Vinginevyo hatuna haja ya kulalamika tena, na tufunge madomo yetu milele.

We unadhani tatizo hili ni la Dar tu?! Nipo Morogoro nimeona Lake Oil ndo wanauza mafuta .KAMA UNATOA SOLUTION JIKITE KWA TANZANIA YOTE. Me nasema vijana Tanzania yote tuhamasishane kupitia FB na JF Kila mkoa tupange meeting point kwa ajiri ya kufanya maandamano makubwa.
 
Okey okey,

Tuvamie vituo vya mafuta vilivyogoma kuuza...? serikali imewashindwa sisi hatuwezi kuwashindwa? na wakileta ushenzi vichomwe moto kabisa...... ? movement ianze sasa ikiwezekana twendeni mpaka pale kwenye nyumba nyeupe karibu na feri,.. kuna mafuta kule ndani tuKAgawane..

NI mawazo tu
 
hatutaki uhuni tanzania.
Serikali iwache biashara iwe huria.
Wanaopiga mawe wakome mara moja.wasituharibie swaumu zetu
 
We unadhani tatizo hili ni la Dar tu?! Nipo Mogorogoro nimeona Lake Oil ndo wanauza mafuta .KAMA UNATOA SOLUTION JIKITE KWA TANZANIA YOTE. Me nasema vijana Tanzania yote tuhamasishane kupitia FB na JF Kila mkoa tupange meeting point kwa ajiri ya kufanya maandamano makubwa.
Mogorogoro ni mkoa mpya?
 
safi sana, nilikua nasubiri movement kama hii, ngoja niwahi nikaongeze nguvu
 
Nataka waendelee kugoma nione watachukuliwa hatua gani, hii nchi bana.
<br />
<br />
Hivi
kuna kifungu chochote cha
sheria kinachomlazimisha
mfanya biashara kukaa dukani
kwake muda wote. Kwamba
haruhusiwi mtu kufunga duka
lake muda anaotaka yeye. Au
mtu akila mtaji na kufunga
biashara yake, ana kesi ya
kujibu?
 
Tusiyabeze mafanikio ya CCM jamani!
Tuondolee uwendawazimu wako, kutubebesha vidumu kwenye magari ni mafaanikio? Mgao wa umeme miaka mitatu kati ya sita aliyotawala JK ni mafanikio. Acha kujikomba wakati watu tumepagawa, nitakudunda ukileta za kuleta
 
Mh! Haya mambo huanza pole pole mwishowe utaskia nchi nzima watu wameingia mtaani.

Bwana Ndibalema, ni swala la serikali kuwajibika, ama sivyo hii kasheshe wafanyabiashara watapoteza hela na biashara zao zote.
Unajua bongo wanye visenti ndio wenye nguvu, wananchi kutokana na matatizo sugu kwa kweli wamechoka!
Wizara ya ulinzi na usalama kwa raia na polisi ndio wanatakiwa kuanza kazi sasa.
Wananchi wanataka KUNUNUA mafuta na sio kupewa bure, tatizo liko wapi? Na hata watu wa petroli wakiuza kwa bei ya EWURA, bado watapata faida bwelele!
Bure kabisa hawa wafanyabiashara wa mafuta!
 
Back
Top Bottom