Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

<br />
<br />
Kaka vipi...utafananishaje zama za nyerere na zama hizi za sasa hivi? Kelele na hofu ya ccm kuhusu maandamano ya chadema vinatoka wapi? Kwani wewe unaishi wapi mpaka usione uthubutu wa watu umeongezeka? Mawazo mgando kama yako wanayo wazee wengi wa ccm.,..!
Haaa haaa mkuu mbona wachekesha.. mawazo mgando kwa vipi wakati wewe hufanyi chochote! part gani unaplay ktk yote haya maana siasa sio kazi yako. Huko kusema saana wamesema wabunge na viongozi wa vyama vya Upinzani sehemu ambazo ujumbe utafika na kufanyiwa kazi, wewe Mdanganyika unataka kusema nini tena na ili ufanikishe kipi.

Mnachosha sana na haya malalamiko yenu ya kila siku yasiyokwisha. Toka Richmond mlilalamika wee lakini hakuna lolote kwa miaka mwili mizima mmekaa bila Umeme, mgao umekuwa sehemu ya maisha yenu kwa muda sasa na ukosefu wa maji safi ndio haijulikani muda wake mnachimba visima tu mji mzima, mashimo ya maji safi yanachimbwa sambamba na septiic tank za maji machafu hivyo maji yanaingiliana... Maji yote ya chupa kwa ajili ya kunywa ni maji haya haya ya mito na mabonde yanayochujwa na kuwa distilled kiholela, hakuna utaratibu wowote wa kuhakikisha maji yale ni safi na salama isipokuwa tunakwenda kwa nguvu za Mungu.

Madawa feki, elimu feki, nguo feki, vyakula feki, uongozi feki yaani hakuna tunapoweza kusema kuna nafuu isipokuwa ni chunvi juu ya kidonda cha maisha. What else can beat that!..Lakini kila tunapoamka ni kulalamika tuuu wakati hali kama hii nchi nyingine yeyote ile kungekuwepo na UWAJIBNIKAJI. Aidha iwe kwa rais, viongozi au hao mafisadi na sii kuendeleza malalamiko kama vile tupo magereza na kibaya zaidi wakisema Chadema oooh ni wahuni wasiopenda amani na utulivu, tena kuna watu wanaomba kife kesho kabla ya uchaguzi ujao...Eeeeh!!!!?

Unajua nini mkuu wangu nimefika mahala nimechoka! mimi nilikuwa mmoja wa watu ambao tulikuwa na matumaini makubwa sana na vijana wa Kitanzania hasa kizazi hiki kipya, lakini nimegundua kwamba hawana lolote zaidi ya kugundua kuwa wote ni wasanii, wasemaji wazuri, domo kaya, kulonga saaana huku wamejificha nyuma ya pazia..
Wao wanasubiri mtu mwingine ajitose na kuwa bangusilo kisha watamcheka na kumwona mwendawazimu na ndio maana wengi wenu mmejificha humu nyuma ya majina bandia.. Before it never clicked! lakini sasa taratibu nawaelewa kwamba watanzania sio watu makini na hatuna utamaduni wa Majukumu na kuwajibika kwani hii ni kazi ya Mungu na sisi ni wapokezi tu, ndio maana hatuna Umeme, maji , dawa, chakula tunasema Mungu hakupenda!.

Na kama hamtabadilika CCM itatawala milele na hakuna chama wala mwanaharakati ambaye ataweza hata kuwabadilisha viongozi mawazo ya kufisadi kwa sababu hatuna sheria na hakuna mtu anayeweza kurudisha sheria.. it's Darwin nightmare!. Kama imefikia wenye vituo vya mafuta kufunga vituo vyao kama mgomo kujibu maamuzi ya maamuzi ya rais, tena kwa week nzima sijui tumebakia na kitu gani. rais kashindwa kuchukua hatua na wananchi wenyewe wameshindwa kuchukua hatua.. who to blame who!. Yaleyale ya waumini wa Yesu, waliotaka kumponda mawe Maria Magdalena, ndicho nachowapa pimajoto!.

For that naamini kabisa Watanzania wenyewe hawana tofauti na JK, wepesi kulaumu lakini wenyewe pia hawajui wafanye nini, wachukue maamuzi gani bora ila wepesi sana wa kutafuta mchawi kama anavyofanya JK..Na ktk wigo hili kuna nafasi kubwa ya kunyoosheana vidole wakati hakuna lolote linalofanikishwa.
 
duh! ndugu yangu hata nikisema watu kama nyinyi mnafikiria kwa kutumia mkalio nitakuwa nawasifia tu !nadhani watu kama nyinyi mnatumia kitu kichafu kabisa kufikiria! yaani kwa sababu wamiliki wengi wa vituo vya mafuta i ni waarabu waislam basi unaona kama vile wanatengenezewa zengwe kwenye hii issue ya mafuta!
kwanini nyinyi watu hamuishi kulalamika hata kwenye ukweli ulio uchi kabisa?
mara utasikia ooh serikali ina mfumo kristu.....lakini hapohapo mnai support kwa nguvu zenu zote serikali eti kwa sababu rais ni muislam! yaani kitu hichohicho mnakipinga ...na kuki support pia!
mbona akili zenu kama za misukule tu nyinyi watu?
nendeni shule bana...mnaturudisha nyuma sana! pambaf!
Huu ukweli ni upi hasa?.Hebu uweke hapa tuone iwapo mimi au wewe ndiye ninayefikiri kwa hicho kitu ulichosema ni kichafu.
 
Back
Top Bottom