chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
DC wa Iringa Richard Kasesela alitoa tahadhari juu ya watu wanaotoka Dar kuwa watengwe maana Dar ndio kitovu cha ugonjwa
Kasesela alifanya uamuzi sahihi kabisa na ambao ulitakiwa umeshafanywa muda mrefu kabla tena nchi nzima ila yeye akajiongeza tu wilaya anayoongoza
Lakini cha ajabu ndani ya saa 12 alitengua uamuzi wake na kudai alinukuliwa vibaya
Kama kupiga lockdown ni too extreme, the least tungeweza kufanya ni ku contain huu ugonjwa Dar na Zanzibar
Vingefika na kutoka na mizigo tu ya vitu muhimu, hii ni common sense ya kawaida kabisa
Rc Wa Mbeya Albert Chalamila alipiga marufuku baa kufunguliwa kuanzia J3, najua hatuwezi kuzuia mikusanyiko yote ila katika kipindi hiki ile mikusanyiko isiyo ya lazima kama ya kumbi za starehe tungeweza kuisimamisha
Lakini cha ajabu ndani ya masaa 24 akabadili uamuzi wake, kwa personality yake, sio mtu wa kufanya uamuzi na kuutengua mapema vile hasa kwa jambo ambalo wengi wanaamini ni sahihi
Kwa inavyoonekana hawa viongozi wa chini wapo willing kupigana na corona seriously ila kuna mtu juu yao anaona sio kwa sababu zake, na kuwalaximisha kila mara kufuta maamuzi hayo, je ni nani huyu?