Yaani hapa najituliza na wimbo wake mzuuuri, safari siyo kifo. Aliuimba akiwa na Tancut almasi miaka ya themanini mwishoni.wakati huo huwezi kusikia chorus za kusifia matapeli wala wauza unga.siku hizi mara papaa msofe, mara ndama toto ya ng'ombe, mara mzamili katunzi rais wa mikocheni na upuuuzi mwingine usioisha