mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
Wana JF,
Tukiwa kwenye malalamiko ya kuaribu uchumi makusudi kwa ku-import vitu vya ovyo mpaka kusababisha mfumuko wa bei, hii sasa ni kali, soko la karume limefanywa Dampo kuu la mitumba ya viatu na nguo zilizoodha kabisa, wakifungua mitumba uwezi kuamini kama kwamba mpakiaji/mfunga mizigo alikuwa na akili timamu kufunga vitu ambavyo haviwezi kutumika.Mwanzo mfano serikali imepiga marufuku nguo za ndani (chupi na sidiria) lakini bado zipo, kuna viatu zimeoza, wakati mwingine majeans yaliyochanika kupitiliza hata mwehu anaweza ogopa kuvaa, serikali tuache kuzalisha vichaa wa nguo chakavu. Waziri wa biashara tembelea soko la karume uangalie wafungua viroba wanavyopoteza dola.
Hata hivyo ni jambo la kushukru wakina mama wameanza kujitambua kwa kushona nguo kwa wingi hasa vitenge, kanga, hata vitambaa makini, tatizo limebaki kwa wanaume , suruali tsh. 1,500/= sharti ,Tshs 1000/= kuonga Tshs . 30,000/= yeye ni mitumba tu kwa kwenda mbele.
Tubadilike tuige wkina mama kwa kuwasupport vijana watengeneza viatu vya kimasai, wanafunzi kuna watu wanashona tu viatu vizuri hadi matumizi miaka 2, tuache ubi-shoo eti hatutaki vitu vya ki-tz wao ni marekani tu.