Tegeni sikio ,kuna msituko utawapata waTanganyika hivi karibuni kwani Karume na Seifu wanakaribia kuanza kuipandisha jeki Zanzibar na kuziba na kurepair viraka vyote vilivyosababishwa na Muungano bandia..
Wazanzibari tuhoi kwa matatizo yaliomo na yanayoikumba serikali ya Muungano inayoongozwa na asilimia 99.97 ya WaTanganyika.
Mida si mwingi tutauwacha Muungano kama ulivyo ila kila mtu na sukani yake.
Mtu mzima hatishwi nyau, achana na mawazo ya ujamaa na kujitegemea yeshapitwa na wakati wenzako wala nchi ww umeachiwa bendera na shina la chama pole ngosha.[/SIZE]
Dhambi ya ubaguzi itaitafuna Zanzibar kama unachosema kitatokea kwa staili unayofikiria. Hii si kanuni ya Mwalimu Nyerere bali ni kanuli ya historia (Mwalimu Nyerere, 1995)
Mtu mzima hatishwi nyau, achana na mawazo ya ujamaa na kujitegemea yeshapitwa na wakati wenzako wala nchi ww umeachiwa bendera na shina la chama pole ngosha.
Hivim ni kaburi la nani hili?
Wazanzibari waache kulaumu bara kwa kila kitu, tatizo Zanzibar sio bara bali uvivu wao.
Hebu angalia hilo kaburi linaombewa na viongozi huku magugu yakiwa yamejaa na, mbaya
zaidi, hao viongozi wanaona sawa tuu . Tatizo la Zanzibar ni UVIVU, muungano mnautumia
kama scapegoat tuu.
Nawatakia nguvu za kutosha wahusika katika hilo zoezi la kuipiga jeki Zanzibar.Waangalie tu wasituletee earthquake maana tumeshashuhudia za kutosha.Tegeni sikio ,kuna msituko utawapata waTanganyika hivi karibuni kwani Karume na Seifu wanakaribia kuanza kuipandisha jeki Zanzibar na kuziba na kurepair viraka vyote vilivyosababishwa na Muungano bandia..
Wazanzibari tuhoi kwa matatizo yaliomo na yanayoikumba serikali ya Muungano inayoongozwa na asilimia 99.97 ya WaTanganyika.
Mida si mwingi tutauwacha Muungano kama ulivyo ila kila mtu na sukani yake.
Kuna watu wanaota ndoto za mchana kweupe...ngoja tuwaache waendelee kuziota.Hamna lolote lile.. tumeshayasema haya hapa lakini Zanzibar haitoki kwenye Muungano na hakuna kiongozi wa Zanzibar mwenye akili timamu anayeweza kuja na proposal hiyo. Msishangae kundi hilo zima likajikuta linaishia Maweni..
Nafurahi sana jinsi Mwiba unavyopenda kujifurahisha kwa kujipa matumaini ambayo, kamwe na asilan hayawezi tokea, ila sio vio vibaya kuishi kwa furaha ya matumaini ya vifaranga vya kuku kuwa mtaruka kesho, na matumaini hayo kwa kuku huendelea mpaka siku ya kuchinjwa na kufanywa kitoweo.Tegeni sikio ,kuna msituko utawapata waTanganyika hivi karibuni kwani Karume na Seifu wanakaribia kuanza kuipandisha jeki Zanzibar na kuziba na kurepair viraka vyote vilivyosababishwa na Muungano bandia..
Wazanzibari tuhoi kwa matatizo yaliomo na yanayoikumba serikali ya Muungano inayoongozwa na asilimia 99.97 ya WaTanganyika.
Mida si mwingi tutauwacha Muungano kama ulivyo ila kila mtu na sukani yake.