Karume mpya acharuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karume mpya acharuka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by abdulahsaf, Aug 3, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Karume mpya’ acharukaMZEE Hassan NassoroMoyo, maarufu kwa sasa‘Karume Mpya’, amesemawakati ni huu wa kudaihadhi na mamlaka kamiliya Zanzibar kama dola.
  Katika kutoa witohuo, akawataka vijanakupigania Zanzibar yaowala wasiogope bali hiyoiwe ‘Jihad’ yao kamayeye ambapo amejiwekeamsimamo wa kuipiganiaZanzibar hata kama hiyoitamgharibu kufukuzwaCCM.“Leo vijana nakwambienikwamba muda umeshafikana muda huu ndio wakatiwake wa kuyasema hayamsiogope.”Amesema, kwakeZanzibar kwanza kwaniCCM imekuja baada yanchi na muungano.Akitoa historia ndefu yanchi mbili za Tanganyikana Zanzibar Mzee Moyoalisema kwamba viongozina waasisi wa muunganowalikuwa wamekubaliana baadhi ya mambo katikamuungano mwaka 1970 baada ya viongozi waBaraza la Mapinduzikuhoji uendeshaji washughuli za Muungano nakutangaza hatua kadhaaikiwemo ya kutaka Rais waZanzibar kujulishwa juu yahali ya hatari inapotokeaTanzania.Akizitaja hatuanyengine zilizokubalika,Moyo alisema Baraza laMapinduzi lilitaka kilaupande wa Muunganoujitegemee kwa kila upandekuwa na jeshi lake la polisi,kuwa na mamlaka kamili juu ya masuala ya uhusianowa kimataifa na pia pandehizo kila moja kuwa nasarafu yake.Alisema, baada yaviongozi wa Barazala Mapinduzi wakiwawamefuatana na MzeeKarume kutoa hoja hiyombele ya Mwalimu Nyerere,wakaambiwa muda wasuala hilo haujafika.Akasema ikiwa wakatiule muda ulikuwa haujafika, basi sasa ni wakati wake.“Alipoambiwa Mwalimu Nyerere basi akasema
  Na AlghaithiyyahZanzibar
  muda haujafika, lakinileo vijana nakwambienikwamba muda umeshafikana muda huu ndio wakatiwake wa kuyasema hayamsiogope”, aliwaambiavijana ambao walioalikwakatika mkutano huo wawaandishi wa habari.Muasisi huyo wa ChamaCha Mapinduzi (CCM)amesema yuko tayarikurejesha kadi ya chamachake iwapo atalazimikakufanya hivyo hukuakisisitiza kuunga mkonoMuungano wa Mkataba.Akizungumza nawaandishi wa habari MjiniZanzibar juzi Jumatano,amesema ataendelea kuteteamsimamo wake wa kutakaMuungano wa mkataba kwakuwa muungano uliopo kwamiaka 48 sasa umeshindwakutatua kero zilizopo nakuleta matumaini kwaWazanzibari.“Jambo kubwa ni nchi,chama lilikuwa jambola pili na kama viongoziwetu wa chama wanatakakutupeleka huko tukaelezemsimamo wa chama,mimi nasema muunganoumekuja kwanza na hivyondio ninavyojua mimi nahuo ndio msimamo wangulakini ikiwa wanatwambiaturejesha kadi, miminitakuwa tayari lakinisiwezi kuacha nchi yangu...nchi ilikuwa jambo lamwanzo”, alisiitiza MzeeMoyo.Kauli hiyo ya Moyoimekuja siku chache baadaya Naibu Katibu Mkuu waCCM Zanzibar Vuai AliVuai kuwataka wafuasi wotewa chama hicho kuheshimusera ya chama ambayo niserikali mbili kama ilivyohivi sasa na kuwaonya walewote ambao watakwendakinyume na chama hicho.Mbali ya kauli ya Vuai,Chama Cha MapinduziWilaya ya Mjini kilipitishaazimio la kuwataka baadhiya Wabunge, Wawakilishi,Muweka Hazina waChama hicho Mansoor Yussuf Himid na MakamoMwenyekiti wa chamahicho Zanzibar AmaniAbeid Karume kuacha tabiaya kuhubiri sera za vyamavyengine.Azimio hilo lililopitishwa
  RAIS mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume
  na wajumbe 400 lilisemaviongozi hao wamekuwana tabia ya kuunga mkonomsimamo wa kutakamabadiliko ndani yamuungano msimamo ambaounakwenda kinyume namsimamo wa chama chaoambapo sera za chama chaCCM ni serikali mbili zenyemfumo uliopo ambapomasuala la muungano nikushughulikiwa na siokubadili mfumo.Akitoa historia refu yaharakati zake za ukombozimbele ya waandishi wahabari, Mzee Moyo alisemaanashangazwa na kauli yakuwanyamazisha wananchiwasitoe maoni yao kwakisingizio cha kwendakinyume na sera za CCMwakati suala la Muunganoni muhimu zaidi kulikochama.“Chama kimekuja baadaekwanza ilianza nchi naukaja muungano, sasamsiwazuwie watu kutoamaoni yao kwa kutwambiachama kinasema hivi auvile”, alisema Mzee Moyohuku akionesha uso wakukasirika.Mzee Moyo, aliyewahikuwa waziri na kushikanyadhifa mbali mbalikatika Serikali yaMapinduzi Zanzibar naSerikali ya Muunganoalisema aliwataka vijanakuendelea kutoa maoni yao bila ya woga kwani kufanyahivyo ni kuendeleza kazialiyokuwa akiifanya MzeeKarume kutetea nchi yake.Aidha Mzee Moyoambaye ni miongoni mwawaasisi wa Mapinduzi naMuungano alisema chanzocha Zanzibar kuibua madaihayo, yalitolewa baadaya Mwalimu Nyererekuamuru kikosi cha jeshikutoka Zanzibar kwendakatika shughuli za vita vyaukombozi wa Msumbiji bila kumwarifu Rais waZanzibar jambo ambalohalikumfurahisha MzeeKarume.Mzee Moyo atakuwa nimwana CCM wa kwanzakukariri hadharani manenoya Mzee Karume aliyosemadhidi ya Muungano juu yamambo iwapo yatakwendakombo.“Mzee Karume alisemawazi muungano kama kotilikikukera unalivua lakini piaMzee Karume aliufananishahuu muungano na kanzuambapo alisema unawezakuivua”, alisisitiza MzeeMoyo ambaye alisemakutoa maoni ni moja yauhuru na sera za chamachake.Aidha Mzee Moyoalikumbushia yaliomkutaRais wa awamu ya pili yaserikali ya Zanzibar, MzeeAboud Jumbe Mwinyi piahakufanya makosa aliotakaMuungano unaoendeshwa bila kuingilia mamboya Zanzibar na serikalinyingine inayoshughulikiamasuala ya Tanganyikayasiyokuwa ya Muunganolakini akasema bahatimbaya nia hiyo ilikuwaamekwenda nayo pekeyake bila ya kuwashauriwenzake.“Sisi tulikaa kimya kwasababu yeye kama kiongozimkuu wa nchi akaona aendenayo peke yake kwa hivyoMoyo akaa kimya hakusemakitu lakini angetwambiasisi tungemuunga mkono”,alikumbushia.Akitoa nasaha zakeMzee Moyo alisema huusio wakati tena wa ChamaCha Mapinduzi kuwazuwiawatu wasitoe maoni yao bali wanatakiwa kuwaachiawatoa maoni yao kwauhuru na uwazi ili kuundamuungano unaokubalikana wenye maslahi kwa nchizote mbili Tanyanyika naZanzibar.Hata hivyo Mzee Moyoaliwakemea sana viongoziwenye mawazo yao nakukataa kupokea mawazoya wenziwao na kusemakwamba nchi hii sio yaCCM na kila mmoja awehuru kutoa maoni yao nakuwataka viongozi waCCM wavumilie juu ya
  Inaendelea Uk. 4
  [​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
 3. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Peleka kadhia hii mzalendonet.com
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hii kadhia haijahaririwa! Maneno yameungana ukisoma kama unasoma epsperanto!

  "Amesema, kwakeZanzibar kwanza kwaniCCM imekuja baada yanchi na muungano.. Nini sasa hii? Pamoja na haraka ambazo huwa tunazo ili kuwahisha habari hapa JF lakini tuwe tunazitendea post zetu haki kwa kuzi copy na kuaziandaa vizuri kwenye word processor kisha tuzipost hapa vinginevyo inakuwa umetumia lugha inayoshabihiana na kiswahili!
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Jamani mods itendeeni haki hii post! Haijakaa kusomeka na eti inaendelea ukurasa wa 4!
   
 6. M

  Msajili Senior Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 117
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Toeni Upemba wenu humu pelekeni Mzalendo.net
   
 7. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mheshimiwa hassan nassoro moyo ameanza kuchanganyikiwa


  nampa heko muheshimiwa mohammed seif khatib kwa taarifa yake kuhusu pafmecsa bungeni jana
   
 8. m

  mkataba Senior Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  WACHA UTOTO WAKO KWANI JF SI NI YA MUUNGANO, au hujui kama sayansi na technology ni miongoni mwa mambo ya muungano.
   
 9. m

  mkataba Senior Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Waliochanganyikiwa ni sisi Watanganyika tunaowanga'nga'a watu wasiotutaka hata kutuona,
  huko kwao tunajipendekeza tu.
   
 10. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,918
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  Muungano wako wa kifikra uwe na waarabu halafu uharo ulete Tanganyika, muungano wako huko huko!!
   
Loading...