Karume Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano

Ccm ipi itakayo fanya uteuzi huo?
Hivi minyukano yote ndani ya ccm itakuwa bado tu haijafa!
itakuwa ajabu ya nane ya Dunia.

ccm is no more ...hakivuki 2012, tuombe uzima ndugu zangu...The CCM dies...
 
Labda anaweza kufanya mabadiliko kidogo, kwa mtazamo wangu CCM wanaweza kumpitisha mwana mama this time.
 
Nakumbuka kisa kimoja cha Amani Abedi Karume mwaka 2005, alikuwa kwenye mkutano na mama mmoja maarafu sana wa chadema, ndio ilikuwa mwanzo mwanzo wa uongozi wa raisi Kikwete, Kikwete akiwa anahutubia akamnong'oneza mama wa Chadema ambaye ni mzanzibari kwamba amechoka na anataka akamumzike.....na jamaa alikuwa hajahutubia hata nusu saa......
katika watu wavivu duniani huyu jamaa yumo
Lowasa for presidential 2015, zamu yetu wakristo sasa
 
Wana JF

Kuna tetesi kuwa CCM wanampango wa kumpitisha Rais mstaafu wa Zanzibar katika kugombea urais 2015. Hoja ni kuendeleza mbinu yao ya kutumia udini ili kushinda katika uchaguzi huo pia wataleta ushawishi kuwa ameweza kutuliza ghasia za kisiasa Zanzibar watakapochakachua lengo ni kuwa na Serikali ya umoja wa kitaifa na huku bara. Hii mnaionaje?

Source: Sema usikike

kwa maana hio unamaanisha Nchi hii waislamu ni wengi zaidi kiasi kwamba wakiweka mgombea wao wana uhakika wa kupata Nchi sivyo?
 
Acheni CCM waendelee kujichanganya!!!

Kiwango cha ushindani wa siasa nchini kimepanda hakuna mfano wake na endapo huyo na au mwingine yeyote yule, ndani mwao au ndani ya kambi ya upinzani, ndiye atakayeshinda katika UCHAGUZI CHINI YA KATIBA MPYA NA TUME HURU ZA UCHAGUZI BARA NA VISIWANI kiasi kwamba safari hii rais bora atapatikana bila uchakachuaji wala njia zozote za mkato nchini.

Acheni kila chama kimlete mtu na wala CCM kisilete huo mpango mchafu wa kurefusha kesi za CHADEMA kwa lengo la kumfanya Dr Slaa akose kushiri uchaguzi wa 2015. Ndio maana pia kupigia danadana mabadiliko ya katiba ni yatahesabika kwamba serikali inafanya maandalizi ya makusudi ya kiama na michafuko nchini mwetu kwa namna ambvyo hata jumuiya ya kimataifa itawawia vigumu kuzuia.

Habari hizi za mpango mchafu endapo zitawafikia wananchi waliowengi huko chini na basi taifa letu huenda likatetereka hakuna mfano wake hivyo ni jukumu letu sote kuhakikisha hili halitokei kamwe, hata iweje, maana tutaipinga kwa nguvu zote kitaifa na kimataifa.
 
Wengi wa wajumbe wa kikao husika ambacho kinapitisha jina la mgombea kupitia CCM walishachungulia kwenye makoti ya Lowassa kwa njia moja au nyingine. Kazi kweli kweli......
 
Nakumbuka kisa kimoja cha Amani Abedi Karume mwaka 2005, alikuwa kwenye mkutano na mama mmoja maarafu sana wa chadema, ndio ilikuwa mwanzo mwanzo wa uongozi wa raisi Kikwete, Kikwete akiwa anahutubia akamnong'oneza mama wa Chadema ambaye ni mzanzibari kwamba amechoka na anataka akamumzike.....na jamaa alikuwa hajahutubia hata nusu saa......
katika watu wavivu duniani huyu jamaa yumo
Lowasa for presidential 2015, zamu yetu wakristo sasa

Mlokole atakubalika au shuruti awe Mkataloki?
 
I don't think so either. I think we are making this network a joke because people come here with issues that are not supported by anything but rumors. Please guys, lets us be more than that....Tujibu maswali magumu aise.
 
Upuuzi tu. Kila kitu Ukristo na Uislam, hivi hakuna cha maana tukijadili?
 
Upuuzi tu. Kila kitu Ukristo na Uislam, hivi hakuna cha maana tukijadili?

Kweli ni upuuzi kujadili udini, lakini ni ukweli usioepukika! katika kila nyanja za maisha yetu, kitaifa au kitaifa, udini umetawala! hata ndani ya vyama vya siasa, ndani ya makabila tena iweje JF inusurike. Ni kasumba tuliolewa, japo tunajitiya kuikataaa!
 
nilikua sina wazo kwamba aman katika mazungumzo yetu ya maswala ya kisiasa kuna mtu alizungumzamgombea urais ccm ashaandaliwa karume.nikahoj uon kwamba ccm inaweza kushindwa uchaguz.akanijib kwa system ilionayo ccm hata wakisimamisha mbuz atashinda.je waataalam wa mambo ya siasa hilo linawezekana?
 
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe,Ya Wazanzibar yanatuhusu nini Sisi Watanganyika?Si walibadilisha katiba yao,labda inakipengele kinaruhu arudie tena ili aje apambane na Hamad rashidi
 
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe,Ya Wazanzibar yanatuhusu nini Sisi Watanganyika?Si walibadilisha katiba yao,labda inakipengele kinaruhu arudie tena ili aje apambane na Hamad rashidi

ni uraisi wa Tanzania na sio wa zanzibar.kule hawez tena mda umeisha
 
Back
Top Bottom