Karudi na kilio aisee?!!

Karudi na kilio aisee?!!

Dem wa namna hyo anaeenda na kurud atakavyo,ukimwoa utajuta,maana ye hapo anatafta ndoa ila hana mapenz nawee,anataka azae watoto,awe na pakukaa,aendelee na shugul zake,atakutesa had ujute,..kaa mbal kabsa na hyo kitu
 
Msamehe tu ......me ilishanikutaga hiyo my boy tulizinguana miaka miwili na nusu ilyopita ....akajiona mtoto wa mjini akaniletea dharau wanawake kwa sana tena macho yangu yakishuhudia upuuzi wake nikamwacha aende..... Amekaa huko two years amerud mwaka huu kuniomba msamaha na kujutia wazimu wake.... Nimemsamehe na sasa hivi akili imemkaa sawa tupo katika process za kuhalalisha ndoa inshaallah mwenyez mungu akipenda mwanzoni mwa 2018 tunaungana rasmi........
So kama amerudi na yupo serious msamehe tu binadamu hatujakamilika
 
achana nae huyo atakuumiza tena mwache aende zake, kwanza amekuacha miaka miwili tayari umeshamtoa akiliini wa kazi gani tena....
 
Back
Top Bottom