-Km hajazaa.
Kama hajaambukizwa magonjwa.
Kama hajatoa mimba .
Kamba hajazulumu MTU uko.
Kama
Kama hauna mwanamke mwingine .
Unaweza kumfikiria ,,natena Usiwe naharakaaa ya kumkaribisha sana malangon mwako ,, atajua wee boyaa ....ukumbuke mwanamke nimtu anayetumia nguvu kubwa sana Ku manipulate mwanamme ,anaweza mpaka akalia kwakutoa damu lkn kumbe moyon mwake hana anachokijutia kabisaaaaaa.
So take time ,,, naukitaka uwe naaman naye zaidi ,,umfanye kwanza kua Rafiki ndio baadae umwambie *we can be together*..
Hujui ,,wenda uko amekimbia sababu Uchumi wajamaa wake umeyumba !!! You see my point ???...... So anarudi kwako sababu *UCHUMI WAKO UMEIMARIKA* ....
mkuuu sijui unanielewa hapa !!!......
Aiseeeee achana kabisa na habar za kuiamin ahadi ilotolewa WAKAT WA MAJONZI ...UTAKUJA KUUMIA ZAIDI......
UYO DEM NOW ANA FRUSTRATION KWAIYO ANAFANYA KILE KINACHOKUJA AKILIN MWAKE ,, NAHUWEZI AMIN ,, HATA UKINIPA NAMBA ZAKE SAIZI ,ALAFU NIKAMTONGOZA ATANIKUBALIA TUU KWASABABU YUPO KTK UHITAJI WA HARAKA WA KURELIEVE FURAHA MOYON MWAKE .
KWAUFUPI MKUU ,,TAKE TIME ,, UJIPLEASE KWAMBA YES SASA TUNAWEZA KUA WAPENZI.
NIKATIKA HUO MUDA UTAKAOKUA UMEMPA NDIO NAYEYE ATAKUA ANAJUTIA SANA KOSA LAKE.
,,,,,,ET WAT IF ,,KM AMEKUKA KWAKO NA UMEMKARIBISHA , KUMBE MWENZAKO ALIKWARUZANA NAJAMAA KITU KIDOGO ,NASASA JAMAA ANAMWAMBIA ,*baby Pete hii nilonunua nisurprise tosha ya mwaka mpya* you are my wife !!!...
Unahisi dem hatokuacha tena ????.kwa wanavyopenda ndoa ivi !!....
Mkuuu , Mpe muda kwanza ,,mfanye km rafiki upunguze maumiv yasokua yalazima....sasa wee mwanamme haraka haraka Alafu aje akupige pigo lingine ukabaki unaugulia mwaka naaibu juu.