tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,781
- 31,298
Naomba nianze na wimbo huu
Aisee ni miaka 2,bidada alinitupa kama mbwa pamoja na Upendo,hatua na vikwazo vyote tulivyopitia ktk maisha ya mahusiano yetu.Kahangaika,kaiona Duniani ilivyo,kaoneshwa maisha yalivyo,Leo hii karudi ni KILIO,Anasema" SIONI DIRA YANGU MBELE,NDUGU ZANGU HAWANIELEWI KUHUSU WEWE, HAPA NIMEMWACHIA MUNGU"Ni mengi kayasema.
Nilikaa kimya na umasikini wangu, unyonge wangu nilimwachia Mungu.Yametimia,najua Mimi nilichoamua moyoni.
WITO😀ada zanguni,mtu akupendaye Kwa DHATI YA MOYO usimfanyie vituko, mbwembwe.You have only one soulmate in your life.
Heshima kwenu wakina dada msio na hulka hiyo mbaya.