Karudi na kilio aisee?!!

Karudi na kilio aisee?!!

Ndugu Yangu Tangu Uachane Nae Kuna Mwanamke Ambaye Alimpata Bora Zaid Yake Au Bado Hujapata Bora Zaid Yake

Tuanza Kwanza Hapa
 
Sio kwa wadada tuu hata makaa mkisha ona mmepata Pasua kichwa huko ndo mnajirudisha tena
 
Hapo ni kuangalia tu moyo wako unavyotaka kama unaonai ni tamaa tu ilimfanya akuache ila bado anakupenda kwa dhati na wewe umeridhia sio mbaya mkarudia kuyajenga.

Na ikiwa unaona anajiliza kwa sababu hana pa kuegemea baada ya kukitembeza sana na hana mapenzi kwako sio vibaya ukampa kweli yake ili apate kunyamaza na yeye aangalie ustaarabu mwingine.
Mtu akishaenda ndo ameenda,kama hakuna nafas tena baada ya kuondoka,
Ukishakunywa maji chupa unaitupa,mwokota chupa ataiokota ampelekee mchina.
Yaani aje tena muanze USULUHISHI kwani mnajadili amani ya mashariki ya kati au Rasi ya Korea?
 
Sina Mkuu,nilizoea hali tangu 2015!!Nilikuwa na demu mkali zaidi yake ila nilikuwa napiga tu na wala sikuwahi waza kumwoa.So suala la kuoa nililifuta this time.NIMESHANGAA SANA,KAPIGA SIMU USIKU SANA,ANA BAHATI NDO NILITOKA KUANGALIA ARSENAL NA LIVERPOOL
Let HER GO
 
Kunguru hafugiki

Jiloge umrudie, utajuta.

Akili ya Kunguru ni hivyo kabisa.
 
Back
Top Bottom