Karudi na kilio aisee?!!

Karudi na kilio aisee?!!

Sasa huyo kumsikiliza si inahitaji moyo wa ukalimu
Ilibidi nimsikilize,maana alitumia namba ngeni na ni usiku wa manane.Alipojiambulisha nikasema unasemaje?sikuwahi pokea wala jibu chochote Kwa namba nayoijua
 
Sina Mkuu,nilizoea hali tangu 2015!!Nilikuwa na demu mkali zaidi yake ila nilikuwa napiga tu na wala sikuwahi waza kumwoa.So suala la kuoa nililifuta this time.NIMESHANGAA SANA,KAPIGA SIMU USIKU SANA,ANA BAHATI NDO NILITOKA KUANGALIA ARSENAL NA LIVERPOOL
Mkuu yaani hayo uliyopotiia yanafanana na yangu.
 
Usimkubalie kurudi penzini, hana pa kwenda huyo kama anajiona takataka we jifanye jalala kabisa.
 
Mareth hili jambo linanisumbua na kunifikirisha sn kuhusu ninyi wanawake.
Unadhani ni sisi wanawake tu ambao hatushikamani? Hata ninyi wanaume wapo wengi tu wasioshikamana. Ndio maana nikakumbusha pande zote mbili kuwa ukishikwa shikamana.
 
Naomba nianze na wimbo huu



Aisee ni miaka 2,bidada alinitupa kama mbwa pamoja na Upendo,hatua na vikwazo vyote tulivyopitia ktk maisha ya mahusiano yetu.Kahangaika,kaiona Duniani ilivyo,kaoneshwa maisha yalivyo,Leo hii karudi ni KILIO,Anasema" SIONI DIRA YANGU MBELE,NDUGU ZANGU HAWANIELEWI KUHUSU WEWE, HAPA NIMEMWACHIA MUNGU"Ni mengi kayasema.
Nilikaa kimya na umasikini wangu, unyonge wangu nilimwachia Mungu.Yametimia,najua Mimi nilichoamua moyoni.

WITO😀ada zanguni,mtu akupendaye Kwa DHATI YA MOYO usimfanyie vituko, mbwembwe.You have only one soulmate in your life.
Heshima kwenu wakina dada msio na hulka hiyo mbaya.
sasa huyo ndiyo bora kwako kwa sababu alolichokosea ni sehemu yake ya kujifunza kuliko ukitafuta mwingine naye lazima akukosee ndio ajifunze..kwa hiyo mchukulie kukosea kwake ndio kujifunza kwake

Kila LA kheri
 
Naomba nianze na wimbo huu



Aisee ni miaka 2,bidada alinitupa kama mbwa pamoja na Upendo,hatua na vikwazo vyote tulivyopitia ktk maisha ya mahusiano yetu.Kahangaika,kaiona Duniani ilivyo,kaoneshwa maisha yalivyo,Leo hii karudi ni KILIO,Anasema" SIONI DIRA YANGU MBELE,NDUGU ZANGU HAWANIELEWI KUHUSU WEWE, HAPA NIMEMWACHIA MUNGU"Ni mengi kayasema.
Nilikaa kimya na umasikini wangu, unyonge wangu nilimwachia Mungu.Yametimia,najua Mimi nilichoamua moyoni.

WITO😀ada zanguni,mtu akupendaye Kwa DHATI YA MOYO usimfanyie vituko, mbwembwe.You have only one soulmate in your life.
Heshima kwenu wakina dada msio na hulka hiyo mbaya.

Kwa huu Utawala wa Magu lazima Warudi tu
 
ukitoa mauaji..mikasa ya mapenzi yote inafanana yaani hadithi zile zile story za watenda na watendwa zinafanana
 
mkuu tamuuuuu , hivi hii ID yako ulifikiria nini!?
Mkuu kwn vip?Inakushangaza et ee?
Niliwaza kutengeneza ID isiyojulikana kama ni ME au KE.Na nilifanikiwa,kwani ukiondoa kujulikana Kwa kutoa mada kama hii inayoonesha mie ni ME huwezi jua jinsi yng ktk mada zingine.
 
Back
Top Bottom