MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Mfano veta ya Nyakato mwanza ,veta ya Mtwara,shinyanga veta nk zina bei gani karo kwa long course?
Mechanics ,long course kwa upande boardingCourse gan?
Kwa miaka yote?full course ni miaka mitatu kama laki 8 hv kwa umeme
mwaka mmoja mkuuKwa miaka yote?