Honestgirl
JF-Expert Member
- Jun 9, 2018
- 210
- 126
Wana jf naomben msaada naulizia bei ya kusoma compyuta each program n sh. Ngap ?
Yan cmaanish chuo nataka kusoma coz fup ya mwez mmoja kweny computer program naulizia centre za compyuta CO chuoKwanza unataka kusoma komputa kozi gani na level ipi? Ukisha jibu hilo kama ni chini ya NACTE ingia huko wanaweka ada yao kwenye subject guides. Nje ya NACTE itabidi uingie chuo kimoja kimoja kwani TCU kwenye guide yao hawakuweka gharama za hizo programs.
Nataka nipate cheti cha compyuta maana nasoma chuo teyarYan cmaanish chuo nataka kusoma coz fup ya mwez mmoja kweny computer program naulizia centre za compyuta CO chuo
Tafuta humu kuna Uzi wa ayo maswala
Aaaaaah sawa wap hyo ?elfu hamsini
Nifate Inbox nikufahamishe Center bei nafuu tu.Nataka nipate cheti cha compyuta maana nasoma chuo teyar
Ok sawaNifate Inbox nikufahamishe Center bei nafuu tu.
nenda vetaYan cmaanish chuo nataka kusoma coz fup ya mwez mmoja kweny computer program naulizia centre za compyuta CO chuo
whay inboboNifate Inbox nikufahamishe Center bei nafuu tu.
Aaaaaaaah sawanenda veta
AsanteAaaaaaaah sawa
Nimekupata mkuu nafikiri wenye ujuzi watakufahamisha zaidi. Unaweza pia kucheck UDSM UCC, Veta Kipawa ICT centre kama uko Dar.Yan cmaanish chuo nataka kusoma coz fup ya mwez mmoja kweny computer program naulizia centre za compyuta CO chuo
Ok asante nitafatilia mkuuNimekupata mkuu nafikiri wenye ujuzi watakufahamisha zaidi. Unaweza pia kucheck UDSM UCC, Veta Kipawa ICT centre kama uko Dar.
Unaitwa computer skills tafuta utaupata ni being nafuu piaOk na unaitweje huo uzi ?