Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,788
- 12,548
- Thread starter
- #21
Hao ni war monger ambao wengi wao IQ zao za kufikiri ni ndogo sana mifano ya hao ni kamaVita ni nature ya watu mkuu, na huo ustaarabu unaousema ni wa kufikirika zaidi.
Watu ni wanyama fulani waliojiwekea u special kwamba wao si wanyama kwa sababu wanajiona wanaweza kufanya mambo mengi tofauti na wanyama wengine, lakini kila tukijifanya wastaarabu na tuko tofauti, kuna matukio yanatukumbusha vinginevyo. Tunakumbushwa kuwa na sisi ni wanyama tu bado.
Napoleon
Hitler
Ukiwa na akili kiduchu lazima utumie miguvu ya vita