"KARMA IS ALIVE" Najiskia hukumu

Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Messages
2,223
Points
2,000
Champagnee

Champagnee

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2019
2,223 2,000
Habar zenu wanajukwaa, bila poteza muda wacha niende direct kwa mada husika hapo juu. Ni takribani miaka 4+ sasa imefika toka nifanye mapenz na demu wa rafiki yangu wa damu sana yani mpaka sasa ni mwanangu. Naweza pata shida ya kifedha ya haraka basi nikimchek hyu mwana (jina kapuni) huwa ananitumia hta iwe kubwa kiasi gani huwa ananipa no matter what coz yeye anapiga busn zake

Sasa ilikua 2012 wakt tuko form4 jamaa alikuw na dem wake alikuw anasoma shule nyingine na alikuw anampenda sana alinitambulisha kwa hyu bibie, bhs baada ya mazoea kuzid yule bibie mapenz yakahamia kwangu nikamla hyu bibie 2times jamaa alijuaa but alinisamehe urafiki ukaendelea kama kawa.

Sijamaliza 2015 tena baaada ya kumaliza 6 jamaa alinitambulisha tena demu wake mpya mwingine, hyu bibie mapenz yakahamia kwangu tena but nilijitahd sana kumkwepa lkn samaki nikanasa kwa wavu nikamla japo nilijutia sana kwa kitendo nilichofanya mpaka leo hii karma hii inanihukumu sana. Uzuri jamaa mpaka leo hajui kma nilifanya hiki kitendo.

Kwann nmeandka thread hii nikiwa naongea au nachat na hyu jamaa huwa nafeel bad sana yani nafeel hukumu nawishi nimwambie nilifanya hiv kwa yule dem lakin nashindwa kabisa kumwambia. Najamaa jana nimepiga nae story sana na akasema kesho anakuja mjin anataka twende kariakoo nkamsaidie daka mizigo yake. Nimeplan kesho nimwambie abt nilichofanya kwa yule mwanamke coz sina raha nafeel karma.

Mnanishaurije ni sahihi kumwambia?? Japo yule mwanamke hayuko nae ila alimpendaga sana mpka sasa huwa hamsahau.

GOD FORGIVE MY SINS
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,114
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,114 2,000
Mungu hafanyii kazi malalamiko ya social Network, kama kweli u feel so guilty kwa hill ulilofanya mwite rafiki yako muwe man to man mueleze kila kitu kisha mwomne msamaha.
Ukishamaliza (haijalishi kakusamehe au LA!) Ingia ndani au kanisani au msikitini Muombe tona Mungu unayemuabudu...Mungu huangalia dhamira tu ya nafsi yako kama kweli imekusudia kutubu.

Ukishamaliza Katie sadaka yako kokote utakapoona kwafaa...

Thank me later, if u will do that!
 
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Messages
1,865
Points
2,000
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2017
1,865 2,000
Fact kabisa
Mungu hafanyii kazi malalamiko ya social Network, kama kweli u feel so guilty kwa hill ulilofanya mwite rafiki yako muwe man to man mueleze kila kitu kisha mwomne msamaha.
Ukishamaliza (haijalishi kakusamehe au LA!) Ingia ndani au kanisani au msikitini Muombe tona Mungu unayemuabudu...Mungu huangalia dhamira tu ya nafsi yako kama kweli imekusudia kutubu.
Ukishamaliza Katie sadaka yako kokote utakapoona kwafaa...
Thank me later, if u will do that!
 
Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Messages
1,209
Points
2,000
Mtukutu wa Nyaigela

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2018
1,209 2,000
Uwe tayari kwa matokeo
 
MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
558
Points
500
MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2019
558 500
Hakuna kitu kinaitwa karma kauli hii wanatumia watu dhaifu na waoga

Halafu nukukumbusha tu hakuwa mke wake na mlikuwa mnazini sasa nashangaa kitendo cha kuzini demu wa rafiki ako kinakuuma yaani unaona kama umemkosea kuliko hata muumba wako alokataza zambi hyo

Everything is fair in love and war
 
Nemo Judex

Nemo Judex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Messages
2,591
Points
2,000
Nemo Judex

Nemo Judex

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2014
2,591 2,000
Mwanaume unatakiwa kuwa na kifua, acha kulegea kaa kimya, ukimueleza doa litakua kubwa sana, ndio maana haishauriwi hata kupekua simu ya mwenzako
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
5,579
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
5,579 2,000
2012 upo form 4,.bas tena nadhani tuwaachie mjadala na watoto wenzako
 
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
2,695
Points
2,000
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
2,695 2,000
Najua ulimlia mademu zake wakati wewe ukiwa vzr au kwakuwa ulionekana kupendeza kuliko jamaa yako au kifamilia ulionekana kidogo umetoka Familia yenye unafuu kuliko jamaa. Ila kwasasa unaonekana kujutia kwasababu unaonekana jamaa amekuzidi chapaa ila naamini kabisa laiti kama wewe ungekuwa vizuri kuliko jamaa wala usingejutia ila sanasana ungejitangaza kwasifa zaidi.

Ushauri wangu, acha usimwambie kitu chochote Kuhusu kumgongea demu wake
 
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2018
Messages
405
Points
1,000
dolomon

dolomon

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2018
405 1,000
Habar zenu wanajukwaa, bila poteza muda wacha niende direct kwa mada husika hapo juu. Ni takribani miaka 4+ sasa imefika toka nifanye mapenz na demu wa rafiki yangu wa damu sana yani mpaka sasa ni mwanangu. Naweza pata shida ya kifedha ya haraka basi nikimchek hyu mwana (jina kapuni) huwa ananitumia hta iwe kubwa kiasi gani huwa ananipa no matter what coz yeye anapiga busn zake

Sasa ilikua 2012 wakt tuko form4 jamaa alikuw na dem wake alikuw anasoma shule nyingine na alikuw anampenda sana alinitambulisha kwa hyu bibie, bhs baada ya mazoea kuzid yule bibie mapenz yakahamia kwangu nikamla hyu bibie 2times jamaa alijuaa but alinisamehe urafiki ukaendelea kama kawa.

Sijamaliza 2015 tena baaada ya kumaliza 6 jamaa alinitambulisha tena demu wake mpya mwingine, hyu bibie mapenz yakahamia kwangu tena but nilijitahd sana kumkwepa lkn samaki nikanasa kwa wavu nikamla japo nilijutia sana kwa kitendo nilichofanya mpaka leo hii karma hii inanihukumu sana. Uzuri jamaa mpaka leo hajui kma nilifanya hiki kitendo.

Kwann nmeandka thread hii nikiwa naongea au nachat na hyu jamaa huwa nafeel bad sana yani nafeel hukumu nawishi nimwambie nilifanya hiv kwa yule dem lakin nashindwa kabisa kumwambia. Najamaa jana nimepiga nae story sana na akasema kesho anakuja mjin anataka twende kariakoo nkamsaidie daka mizigo yake. Nimeplan kesho nimwambie abt nilichofanya kwa yule mwanamke coz sina raha nafeel karma.

Mnanishaurije ni sahihi kumwambia?? Japo yule mwanamke hayuko nae ila alimpendaga sana mpka sasa huwa hamsahau.

GOD FORGIVE MY SINS
Acha usenge wewe usije ukaharibu familia ya mwenzio.

Huwezi jua jamaa ana mpenda na kumuamini kiasi gani hyo demu wake, sasa ujinga wowote ule toka kwako unaweza ukaharibu future zao, japo kwako unaweza ukadhani unafanya jambo zuri.
Kausha, kama vipi achana nao, kama unawiwa kuomba msamaha, muombe msamaha MUNGU wako tu.
 
Forum statistics

Threads 1,315,255
Members 505,171
Posts 31,851,570
Top