KARL LANDSTEINER: mgunduzi wa magrupu ya Damu alizaliwa tarehe ya leo

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,217
Tarehe kama ya leo inakumbukwa kama ni tarehe iliyo mleta dunia mwanafizikia na biologia KARL LANDSTEINER.

KWA ufupi karl landsteiner ndie mgunduzi wa magrupu ya damu miaka 1900 iliyopita.

pia akiwa na wenzake Constantin Levaditi and Erwin Popper walikuwa kirusi kinacho sababisha ugonjwa wa polio 1909.

lakini mwaka 1926 alizawadiwa tuzo ya ARONSON PRIZE ikiwa ni tuzo ya kuonyesha maendeleo au mchango wake katika tasnia ya microbiology and immunology wenye fani hii wananielewa.

tena 1930 alipewa tuzo ya heshima ya NOBEL katika tasnia Physiology or Medicine.
https://en.wikipedia.org/wiki/Nobel_Prize_in_Physiology_or_Medicine
mwaka 1946 alipokea tuzo ya heshima ya lasker award,hii tuzo ya heshima kwa kukubali mchango wake kwenye sayansi ya madawa na imeanza kutolewa toka mwaka 1945.

baadae walimtambua kama ndie baba wa
 
Back
Top Bottom