Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
- Thread starter
-
- #161
MaproCCM mlioko hapa JF- Hojatete, ritz, rejao, FF, Pasco na wengine wengi ambao sijawataja mmeshindwa kutuwekea picha za tukio la kumuaga marehemu sumari.
Mmeishia kulalamika kwamba wachangiaji wa thread wako wachache. Hii inadhihirisha kwamba hamjipangi kufanya vizuri kazi za chama chenu pamoja na zinazowahusu wanachama wenu lakini mnakuwa wa kwanza kulalamika wakati ProCHADEMA wanapofanya vizuri kazi zinzowahusu members wenzao na chama chao.
Kwa mfano kuna gamba moja limeanzisha thread asubuhi asubuhi sredi ya pendekezo la Dr. Slaa kugombea ubunge arumeru, hata bila aibu na kujali kwamba leo ndio mwenzao anaagwa karimjee hivyo alitakiwa kuonyesha upendo na mshikamano(hata wa kinafiki) japo kwa muda huu mfupi wa kutoa heshima za mwisho.
Punguzeni majungu na fitna mfanye vizuri kazi zenu!

Inavyoelekea Next Week tutamuaga mwengine hapohapo Karimjee!
Hilo swali hamna hata mmoja anaweza kukujibu,kuna mahali nimewauliza sana the same question but wanatapa tapa tu hawana majibu,ni kwamba wamekaririshwa na wanasiasa wanaowaamini huo msamiati na bahati mbaya hautaki kutoka vichwani mwao,hili ni tatizo.Ebu tueleze wengine huwa tunasikia tu... Hivi kura huwa zinaibiwaje?
Nipo hapa mzee,tatizo nazungumza mambo ambayo hupendi kuyasikia ndio maana nakunyima raha kutwa unanifikiria,umekimbia hoja kule na kuja kujificha msibani....unataka watu wote wadeke na misiba kama cdm mnavyodeka na msiba wa dada Regia na kutaka taifa zima liingie msibani kisa mbunge wa viti maalum wa chadema?mzee sumari kishafariki tunamuombea kwa mungu amuweke pahala panapofaa,lakini maisha lazima yaendelee na hoja yangu palepale,mchango wa dr.slaa unahitajika sana bungeni,asimame Arumeru wapenda demokrasia tutamsimamie kuhakikisha anashinda kwa maslahi ya ustawi wa demokrasia hapa nchini ambao utaifanya serikali isilale ichape kazi kwa kuwahofia watu kama Dr kuwalipua wakichemsha,ni hilo tu ndio shida yangu mzee.
Hilo swali hamna hata mmoja anaweza kukujibu,kuna mahali nimewauliza sana the same question but wanatapa tapa tu hawana majibu,ni kwamba wamekaririshwa na wanasiasa wanaowaamini huo msamiati na bahati mbaya hautaki kutoka vichwani mwao,hili ni tatizo.
una kazi maalum!! pole sana mkuu.
Nawewe muache baba wa watu na familia yake, uko msibani umeanza kurusha. Siku hizi nani analalaga msibani? Tena watu mia ni wengi sana, tena keshaagwa? Ndo bye bye hiyo.
Poleni familia ya Jerry.
Unamsema Bi Kiroboto..... huyu bibi ana ma-frustration mengi sana na hajiaminiMh spika amezungumza wakati wa hotuba ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Arumeru.....'Wanasema siasa ni mchezo...kila mwanasiasa ni mwanadamu aliyeumbwa na mungu kumtumikia hivyo awaongoze wale aliopewa kuwaongoza na kuwatumikia kadiri ya mapenzi ya mungu, kuwajali....' Je haya ndiyo yanayosimamiwa na serikali kwa viongozi wetu?
wale wa sumu ya pollinium 237?
hakiyamungu leo sijui kuna nini hapa aisee,,, yaani niko hapa msibani tunalala hapa ili kesho tusafirishe kwenda arusha, yaani hamna watu, kuna kama watu mia moja hivi ama chini ya hapo, hivi kunani jamani?
Baelezee baelewe baache kutomboka maneno mingi bila kusikiliza wakubwa wa chama!hawajui kufanya siasa,tuwasamehe lakini,siasa sio kususa kupeana mikono na kumwagiana tindikali usoni,siasa mnashindana kwa hoja lakini hampigani na kuacha kuzikana!zumbe mkuu na mwita maranya kwanini hatupendani?
Mbowe kasema wazi leo kwamba,siasa isitufitinishe ikatufanya maadui hata salam tusisalimiane.mbona hatuheshimu kauli za viongozi wetu?hapa hakuna cha pro cdm wala ccm,sisi ni ma analyst,yeyote akiboronga tunampasulia.hata wewe ukuleta hoja zako za kimasaburi pia tunakuchana live.
zumbe mkuu na mwita maranya kwanini hatupendani?