Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
ni mbunge wa wananchi wa arumeru
Mkuu Hojatete, asante kwa kazi nzuri ya kutu update, please don't be distracted ili upoteze focus, wengine wetu humu jamvini sii wazima, achana nao usiwajibu, just keep on updating!.imagine ingekuwa baba yako amekufa halafu Sisi tuhoj kwa nn viongoz wanashiriki kuomboleza na kuzika.
Alifariki siku nyingi. Nipe pole tu. Angepelekwa na nani Karimjee kapuku yule?ingekuwa baba yako amekufa ungehoji?
Mkuu Hojatete, asante kwa kazi nzuri ya kutu update, please don't be distracted ili upoteze focus, wengine wetu humu jamvini sii wazima, achana nao usiwajibu, just keep on updating!.
watu wamefurika mno.Viongozi wa kitaifa,wa serikali,vyama vya siasa, wabunge na wananchi wa kawaida.wanachama wa ccm ni wengi sana.
rais wetu mtarajiwa LOWASSA yupo hapo?
Jitahidi tu upate picha ya JK wanaposalimiana na DR.SLAA maana leo ninaamini hata mkwepa.
Mnampa matumaini yasiyokuwa na faida kwani hawezi kamwe kuwa rais wa nchi hii.Endeleeni kula hela zake na kmfariji.rais wetu mtarajiwa LOWASSA yupo hapo?
Tunaigharamia sana SIASA na WANASIASA kupita kiasi. Sasa hata mazishi yanakuwa ghali mno. Mzee huyu ameugua muda mrefu tu. Tumetumia gharama. Tumemlipa mishahara ya UBUNGE kwa muda wote huu akiwa kitandani tangu alipochaguliwa. Sasa gharama za mazishi tena.Mkuu Hojatete, asante kwa kazi nzuri ya kutu update, please don't be distracted ili upoteze focus, wengine wetu humu jamvini sii wazima, achana nao usiwajibu, just keep on updating!.
watu wamefurika mno.Viongozi wa kitaifa,wa serikali,vyama vya siasa, wabunge na wananchi wa kawaida.wanachama wa ccm ni wengi sana.
Hiyo kazi ya Pasco
kwani aliyekufa ni baba yako?
Jimbo hili linaenda kwa CDM after 3 months to come.Wake up and watch clearly
kwani 2010 nani alishinda?Mwaka 2010 hukuwepo nini? maana inaonekana wewe peke yako ndiye utakayemfanya mgombea wa CDM ashinde. Nakutangulizia hongera kama utajaza masanduku ya kura kwa muujiza.