Karimjee kumuaga Sumari

mareem ameacha waToto wanne wajukuu 7 majina nayafatilia
 
kamati kuu cdm itawakilisha kule arumeru.pia cdm imetoa mil.moja wabunge wa cdm wametoa mil 2.laki3 u nusu
mungu akajazie mifuko yenu pale ilipotobolewa ama kupungua na wewe kama kamanda sema
AMEN
 
mioyo bado iko ifakara sasa li
natokea lingine.inauma sana...makinda
 
kama siasa ni ujanja unjanja bas mbinguni wanasiasa hawafiki.makinda
 
Kama Rais atakwenda AruMeru mazishi ya Karimjee ni ya nini hasa? Gharama zote hizi tunabebeshwa wananchi kwa nini.
 
 
Kama Rais atakwenda AruMeru mazishi ya Karimjee ni ya nini hasa? Gharama zote hizi tunabebeshwa wananchi kwa nini.
rais alikuwa ifakara juz na makam alikuwa karimjee.ilikuwa garama pia.
 
imagine ingekuwa baba yako amekufa halafu Sisi tuhoj kwa nn viongoz wanashiriki kuomboleza na kuzika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…