mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
kamanda mbowe atatoa salam za kambi ya upinzani.govt itawakilishwa na lukuvi
nafarijika kama unawatambua Mbowe na Lema kuwa makamanda.
Ila sijasikia kamanda Lukuvi, au kamanda Wassira.
Mwanzo mzuri joh...
mbatia yupo.unajua kuna ccm wamevaa sare sasa lema amekaa jiran nao ndo maHapo unaaribu kwani kanyimwa kukaa na ccm jamani
mbona per diem ya udiwani analamba na wana ccm bana
TEEEEEHHHTEEEEHHH PAMOJA MKUU NIMESIKIA KAFULILALA KAINGIA NAULIZIA MBATIA KAINGIA
NTAKUSHUKURU NIKIPATA PICHA YA HAWA WATU KWA PAMOJA NIWEKE KWENYE KALENDA YA OFISI
watu wamefurika mno.Viongozi wa kitaifa,wa serikali,vyama vya siasa, wabunge na wananchi wa kawaida.wanachama wa ccm ni wengi sana.
kweli mafisadi hawapendwi sasas sijui nani anawapigiaga kuraThere are currently 33 users browsing this thread.