Karibunii Vijana wa CHADEMA.,Karibuni CCM…!

Karibunii Vijana wa CHADEMA.,Karibuni CCM…!

Nikifa jeneza langu funikeni BENDERA YA CHADEMA,kila atae udhulia msiba akikisheni anapata kadi,RAIS WANGU DR.SLAA apewe maiki atoe neno,NAKUPENDA CHADEMA NITAKUFA KWA AJILI CHADEMA,weka bastola utosini sihami chadema,sijawai kuwa mwanachama wa chama chochote tangu utoto wangu mpaka niliposikia mahubiri ya MBOWE 2005............nakupenda chadema.
 
Katika mambo ambayo yameongeza mvuto wa shughuli za kisiasa hapa nchini, ni kile kinachoonekana kuwa Chama Cha Mapinduzi kushika hatamu katika kuonyesha dira ya uongozi wa shughuli za kisiasa hapa nchini. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Chama Cha Mapinduzi kufanya mabadailiko katika safu yake ya uongozi kuanzia ngazi za juu mpaka ngazi za kata na mashina.

Kimsingi ni kwamba hali ya siasa ndani ya chama cha Mapinduzi imeendelea kuwa shwari na ya Utulivu ambayo inawapa fursa viongozi wa chama hiko kufanya kazi kwa ushirikiano na umoja zaidi tofauti na kipindi cha nyuma ambapo makundi yalikaribia kukiangamiza chama hiko kikongwe hapa nchini.

Mafanikio ambayo yanaonekana kupatikana ni pamoja na kuongezeka kwa kasi ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010, ambapo kumekuwepo na kasi inayoridhisha ya utekelezaji wa ahadi zake na pia usimamizi makini wa shughuli za serikali katika kuwaletea Maendeleo wananchi.

Kuanzia Mawaziri, Mananibu, Wakuu wa Idara na vitengo Serikalini, wakuu wa mikoa na ma_DC pamoja na wakurugenzi wamegeuka kwa wachapa kazi hodari chini ya usimamizi wa viongozi wa CCM ambao hupita kufanya ziara na kutoa maagizo mbalimbali ya utekelezaji na utatuzi wa kero za wananchi katika maeneo hayo. Ma-DC wapya ambao wengi wametokana na UVCCM, wamekuwa mstari wa mbele katika kusimamia ILANI ya Chama katika ngazi za wilaya wakishirikiana na wa_NEC wa Wilaya pamoja na Wenyeviti wa Chama Wa wilaya wa UVCCM na CCM.

Kasi hii imeongezeka na kutia faraja zaidi kwa chama cha Mapinduzi kufuatia matukio ya Vijana wa Chadema kuuona na kuushuhudia ulaghai mkubwa wa Chama hiko, na hivyo kuamua kuamia CCM makundi kwa makundi, tumeshuhudia Matukio ya Kuhama kwa Mwenyekiti wa Chadema UK, Lukosi na Safu yake ya uongozi na kurudi CCM, tumeshuhudia SHONZA makamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa akijiunga na CCM, akiongozana na MTELA na wengineo, tumekuwa tukipata taarifa kila kukicha ya vijana kuhamia CCM hata katika yale maeneo ambayo upinzani umeonekana kuwa ni ngome yao kama mikoa ya Kilimanjaro na Arusha pamoja na Manyara.

Matukio ambayo yamekuwa kivutio cha wengi na hasa baada ya Vijana hao kupata nafasi ya kuieleza hadhira juu ya sababu zao za msingi zilizowakimbiza Chadema ambapo walitaja kuwa ni Ubaguzi uliokithiri na Upendeleo, ambapo wengi wao walieleza kinagaubaga kuwa Chama hiko ni cha wanaharakati na wala si chama ambacho kinaviongozi makini na watawala wenye hekima.

“Chadema haina viongozi wala watawala bali ni kikundi cha wanaharakati ambao wanaendesha harakati zao kwa maslahi binafsi na ubaguzi mkubwa” aliwahi kusikika Mtela Mwampamba ambae alikuwa ni Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Mbeya.
Kwa wale ambao wanawafahamu watu kama LUKOSI, MWAMPAMBA, SHONZA, ABDUL ISSA n.k na harakati zao na mikakati yao ya kuieneza na kuiimarisha CHADEMA hapa nchini, wamepigwa na butwaa baada ya matukio haya ya watu hao kuihama chadema, lakini wengi wameshtushwa zaidi na taarifa hizo juu ya kinachoendelea Chadema, na wanajiuliza hatma ya Chama hiko ni ipi.?

Pamoja na sababu nyingine pia vijana hao walifikia Uamuzi huo wa kukihama chama hiko baada ya kupigania kusimamisha Demokrasia ya kweli ndani ya Chadema na kupinga ukiukwaji wa Katiba, Kanuni na Taratibu uliokuwa ukifanywa na “viongozi wakuu” wa Chadema.

WanaCCM wote pamoja na Mimi tunawapongeza vijana hawa kwa uamuzi wao ambao wenyewe wameutambua kuwa ni “uamuzi sahihi” na kila mmoja katika sisi tumekiri kuwa uamuzi uliofanywa na vijana hawa ni uamuzi sahihi tena ulio thabiti ambao kila kijana ambae anafikiri sawasawa anatakiwa kuuchukua.

Pamoja na pongezi hizo, tuchukue fursa hii kuwataka vijana ambao wanajitoa kuijenga na kuitetea CHADEMA kuona hatari inayoendelea Chadema na hasa baada ya kudhihirika sura yao kamili kwenye macho ya watanzania, kwa yale yaliyobainishwa na Vijana hawa waliohama huko lakini pia haya yaliyoibuliwa katika mitandao na kuwafanya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hiko kuwekwa chini ya Ulinzi.

Umefika wakati sasa wa vijana kukihama na kujiepusha kabisa na shughuli zote zisizo na nia njema na Taifa zinazofanywa na Chadema na kutafuta Chama kingine ambacho kinasimamia Uadilifu, Ukweli, Haki na Nidhamu ya kweli kama CCM.
Karibuni CCM, Chama kinachotoa fursa sawa kwa wanachama wake na kuthamini wanachama kulingana na michango yao na huduma yao kwa Chama.

Upuuuuzi mtupu huu, hao wote uliowataja kuwa wamehama kimsingi walifukuzwa, tena wengine (shonza na mwampamba) wakajitahidi kung'ang'ania hadi dakika za mwisho na walipoona wanachama na mashabiki wote tumewatema ndo wakajidai kuwa wamehama. Mifano ya Waliohama chama ni kama Ole Milya na Msafiri, hawa hawakufukuzwa, wenyewe kwa hiyari yao waliona madudu ya ccm wakaamua kuitema. ccm wanaokota makombo wakati chadema chenyewe watu wanakuja kwa hiyari yao. So rekebisha ubongo wako au mwenzetu bichwa lako limejaa mikamasi??
 
unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu ndani ya cdm kama mipango ya kummaliza kibanda na waliokwisha tolewa sadaka na chama chenu cha cdm kama mwangosi, mussa, chacha wangwe n.k?
Unayo maelezo ya matumizi ya pesa za ruzuku na michango ya watanzania katika m4c kutumiwa na mtu binafsi katika shida zake(slaa kujikopesha milion 140) kinyume na utaratibu wa chama?
Unayo maelezo ya kueleweka juu ya ukiukwaji wa demokrasia ndani ya cdm mathalani kufukuzwa kwa kina shonza,mwampamba, habib mwinchange n.k bila utaratibu kufuatwa?
Wacheni vijana wenye akili zao waende wakipiganie taifa lao na watanzania kwa ujumla ndani ya chama tawala ccm.

Si afadhali huyu anayejikopesha fedha za wanachama wake na kazi anazifanya zinaonekana kuliko wale wanaofilisi fedha zetu walipa kodi (epa, ricmond, meremeta, tanesco, bomba la gesi, wanyamapori, mbuga zetu , kunyang'anya ardhi ya wananchi na kuigawa kwa wageni, na mengine meeengi sana ambayo nikisema niyaorodheshe hapa nafasi haitoshi), hata wewe unayajua sana haya ila kwasababu bichwa lako limejaa mikamasi unakuwa mgumu kufanya tafakari. Poleni sana wanapropaganda dhaifu, ndo mtajua kuwa propaganda sio kila mtu anaziweza, ule ni weledi na sasa hivi hapo ccm hakuna hata mmoja. Wote wameshajichokea mmebaki kutukana watu tu na kusingizia watu maovu mnayoyafanya nyie wenyewe. WAPUUUUUUUZ sana nyie
 
Ccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccmccm
 
Ninatamani nikuone halafu nikulaani! Hivi mkila na kuvimbewa mnadhani kila mtu anahaja na porojo zenu? Ndani ya ccm ni shwari kweli lakini nje watz wanakufa njaa! Mnaiba maelfu ya wanyama kupeleka Qatar halafu mnatutambia wazi nyie watu....haya endeleeni!
 
Hili pumbavu sijui lmetoka wapi dah limeniharibia siku. Huu uharo bora utolewe tu. Mijitu mingine sijui ina laana! Ulaaniwe na ccm yako.
 
Nenda kapinduliwe mwenyewe kwenye hicho chama chako cha mapinduzi
 
Kwa nini uwakaribishe CHADEMA tu? NCCR, CUF, TLP nk.? hebu fafanua
 
Ccm bado ni dume lao

ni kweli mkuu ccm ni dume bwana hawa wengine ni wanafiki
hasa humu jamvini wanajifanya wanaipenda chadema kumbe wanafiki
vijana waache vyama vya msimu kama chadema wajiunge na ccm dume la mbegu
ccm oyeeeeeeee
ninaimani na jk
ninaimani na kinana
ccm saaafiiiiiii😀
 
Nimeukumbuka ule mchezo wa karata tatu.
Watu wenye tamaa ya utajiri bila kufanya kazi huwa wanamuona mchezeshaji kama mkombozi. Matokeo yake wanaacha kazi na kutupia savings zao zote kwenye kale kapesa kekundu, watakula mara ya kwanza .. ya pili wataliwa, sasa ili warudishe zile walizoliwa na kupata faida watapanda dau, kama aliweka mia sasa ataweka mia mbili. na mwisho wake ni kilio wataogopa hata kurudi nyumbani.
Hii ndio ilivyo kwa jamaa zangu wavaa khaki, badala ya kwanza kuangalia na kujenga msingi walionao wao wameamua kuacha na kufanya kazi wanasubiri 2015 huku wakipiga kelele pipoooooz!
Tuombe uzima hiyo 2015 ....! wanachi tayari wameisha anza kushtuka na wameanzia sebuleni,
LEO TUMEONA VIJANA WENGINE 100 HUKO KILIMANJARO WAMERUDI NYUMBANI
 
BINAFSI NIKIMUONA MTU ANAIPENDA SANA CCM AKILI INANIIJIA HILI JAMBAZI!! CCM ni WEZI wanatumia njia ya kurubuni watu!! Ndio maana nchi inefubaa kwa umasikini mnawajaza watanzania ujinga!!
 
kadi Ngapi zimerudishwa Ngapi zimechapishwa ..najali kujua unapanga kuchangia kivipi kimaendeleo ? . Kadi nikaratasi za rangi za twawezafungia mihogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom