Karibuni..

Karibuni..

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Karibuni wanaJAMVI tuombe/tusali kabla ya kulala. Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema mengi aliyotutunuku siku nzima. Usiache kuomba/kusali kabla ya kulala na unapoamka.
NAWATAKIA USIKU MWEMA NA NJOZI NJEMA!
 
Inawezekana humu watu wana chit chat mpaka mid nait wakichoka wanaangusha kimyakimya bila kusali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom