Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,846
- 236,207
Hii nini mpendwa?Leo jirani kaomba tena nimpikie hiki [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1442883
Hahaha mkuu yaani vitunguu na nyama likatokea pilau la namna hyo?
Ngoja nijaribu wele wako lisitokee[emoji846][emoji846]
Sent using Jamii Forums mobile app
We nyau[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unaongelea nyama ingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huna akili kabisa yaani unataka kuniambia nishalitafuna tiyari au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikadumbukiza mchele nikachanganya kama sekunde 2,nikaongeza maji na chumvi. Nikafunikia kidogo ili itokoteView attachment 1441859View attachment 1441860
mama wawili
Pishi linamata aisee..! Hujui hiloNichumbiwe kisa pilau [emoji23]
mama wawili
Mkuu kwahiyo kwako ww unayeenjoy kutafuna yale mahome ya miti ndo unaona ujanja??
Heeee majanga basi kama nitakuonea wivu kwa kujua kupika maana yake nataka kuchukua nafasi yako au??Hivo viungo havina tabu kabisa.
Sema ni "wivu" tu unakusumbua
mama wawili
Ni kweli.Ewaaaaa hakuna kinachonikeraga mm kwenye pilau kama vile vimiti miti kila mara kutema vimiti mara sij ui hiliki n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengine ndo mlivyo hamjui chakula kitamu wala chakula upendacho.Mkuu kwahiyo kwako ww unayeenjoy kutafuna yale mahome ya miti ndo unaona ujanja??
Hahahaha relax sio kila chakula unachoenjoy ww basi wote tutaenjoy.
Nina bahati mbaya mpaka kesho sijawahi kujua which is my favourite food aisee na maisha yanaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ujiandae ukiolewa na muha mm ujue hivyo vijiti na magome sipendi mapemaaaa unanichambulia before maana hamchewagi kumix humohumo na magome ya limbwata utasikia hiyo sijui mdalasini kumbe ushafanya yako.HahahahahaNi kweli.
Lakini "sisi watalamu" raha ya pilau ukila kuchambua chambua mara utoe hiriki magome ya abdalasini n.k.
Tatizo wewe muha mbishi sana ujue.
mama wawili
Vipi siku likiliwa biriani?huu mchanganyiko ni balaa. sipati picha walioshiriki mlo wako utabiri wa hali ya hewa usiku upande wa radi na ngurumo za vishindo kule kusini mwa bonde lenye ufa sambamba na maporomoko ya tope rojorojo.
umewaacha salama kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app