Karibuni

Karibuni

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,624
Reaction score
1,827
Kila mtu na starahe yake ila hapa wapiga.ugimbi bia komoni wanzuki.dadii na piywaa.mbege ulanzi.ndg zetu wa kusini sijawahau na pombe yenu ya mabibo(ulaka).wazigua wadigo wabondei yenu (kangala) wasamaa (mnazi).sasa kuna kitu kinaitwa 4g+h double kikck..sema ulianza lini na pombe ipi.ulizimika ktk sherehe au promitions.leta maneno napokea mapovu tu
ae268c382aa16b9d2de9271ec365dc19.jpg
 
Aisee yaani zile Nyati,Mahale na ndugu zake bado hatujawamudu mmetuletea tena mpya!!!!!??????
 
Back
Top Bottom