Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
Bila ugali silali usiku!
Zoezi la kupunguza tumbo ni katika ukaaji hapo, maana sahani iko juu ya sakafu, itabidi aiinamie, hapo tumbo atalibana.Ulisema unafanya mazoezi ya kupunguza tumbo eeh?
Kwahiyo ukimaliza hapo ndiyo unakunywa chai ya ile majani?
Mlo bomba
Assnteee..!!!Aisee huo msosi ni mahususi kwa mida kama hii
Eti na unaona watu hapo wanabisha kua sio chakua hicho na hawashibiUlisema unafanya mazoezi ya kupunguza tumbo eeh?
Kwahiyo ukimaliza hapo ndiyo unakunywa chai ya ile majani?
Mlo bomba
Wamefanyaje google,yaan nimegoogle khaa jwa chakula hiki tu nishindwape kupika

acha utani Chakula kigumu siku cha niniBila ugali silali usiku!
Balance diet iwe chapati tenaUna balance diet au ndio bajet kwenda sambamba na anko magu??
Mi ni wa mkoaniwa mikoani hujatutendea haki. vile vitu vyetu vigumu vigumu havijapatikana
Ulisema unafanya mazoezi ya kupunguza tumbo eeh?
Kwahiyo ukimaliza hapo ndiyo unakunywa chai ya ile majani?
Mlo bomba
alafu mutu inalalamika eti iko nakitambi!!!