Karibuni zanzibar kisiwa cha wastaarabu

Karibuni zanzibar kisiwa cha wastaarabu

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
kama umeshafika au unatarajia kufika kisiwa cha zanzibar tegemea kukutana na ustaarabu wa hali za juu wazanzibar ni watu wa ajabu sana wana upendo sana. ni sehemu pekee ambapo ukipanda daladala au chai maharage utaona konda akiwaomba abiria wakusanye nauli na kumpatia nao watafanya bila ubishi, pia konda atajitolea kubeba mzigo wa abiria toka kituoni mpaka ndani ya gari, ni sehemu ambayo konda atajitolea tena kubeba mzigo wa abiria toka ndani ya gari mpaka chini,pia daladala ujitolea kuupeleka mzigo mkubwa wa abiria mpaka karibu na nyumba yake, ni sehemu ambapo ukiangusha pesa yako itaokotwa na utaletewa kama ilivyo,pia ukishuka bandarini utasaidiwa mzigo mpaka stendi kuu ya mabasi DARAJANI . pia unaweza kwenda dukani ukachukua bidhaa na pesa ukapeleka kesho wa imani sana, pia hata kibaka akikamatwa hapigwi ila utakiwa kurejesha mali aliyoiba na kesi uishia hapo,ni sehemu pekee panapopatikana chakula aina ya urojo pia ndip6 panapopatikana bidhaa orijino kama simu,radio,televisheni etc. karibuni sana zanzibar
 
hapa ofisini wakaka wananchekeshaga sana

kila baada ya miezi miwili ijummaa nusu yao huomba ruhusa kumbe wanaenda zenji kula raha jpili jioni wanarudi

wanakwambia kule kwa buku tano mtu analala kwako mpaka asubuhi na hio bei inajumlisha 0713

zenji hawajiuzi kama bongo, hamna danguro bali ukimnunua mnaenda nae kwenu au hotelini
 
kama umeshafika au unatarajia kufika kisiwa cha zanzibar tegemea kukutana na ustaarabu wa hali za juu wazanzibar ni watu wa ajabu sana wana upendo sana. ni sehemu pekee ambapo ukipanda daladala au chai maharage utaona konda akiwaomba abiria wakusanye nauli na kumpatia nao watafanya bila ubishi, pia konda atajitolea kubeba mzigo wa abiria toka kituoni mpaka ndani ya gari, ni sehemu ambayo konda atajitolea tena kubeba mzigo wa abiria toka ndani ya gari mpaka chini,pia daladala ujitolea kuupeleka mzigo mkubwa wa abiria mpaka karibu na nyumba yake, ni sehemu ambapo ukiangusha pesa yako itaokotwa na utaletewa kama ilivyo,pia ukishuka bandarini utasaidiwa mzigo mpaka stendi kuu ya mabasi DARAJANI . pia unaweza kwenda dukani ukachukua bidhaa na pesa ukapeleka kesho wa imani sana, pia hata kibaka akikamatwa hapigwi ila utakiwa kurejesha mali aliyoiba na kesi uishia hapo,ni sehemu pekee panapopatikana chakula aina ya urojo pia ndip6 panapopatikana bidhaa orijino kama simu,radio,televisheni etc. karibuni sana zanzibar

NAKANUSHA KWA NGUVU ZOTE UONGO WAKO.
1.Katika sehem ambayo watu wake hawana akili ma kama wanazo ni kidogo na hizo kidogo hazitumiki basi ni znz... wao wanaamini kila kitu cha mwarabu ni kizuri.. yaan kitu kikitoka oman au dubai bas nkizuri ndo maana wao hata juzi nimeshuhudia mtu akiulzwa na ofisa wa serikal kuwa ulienda kufanya nn dubai... akajib znz ukifilwa pesa kidogoo ila uarabuni ukifilwa na mwarab pesa nyingiiiiiii.....
2.kati ya sehem yenye usafir wa hovyo ni znz. Gari ya mkaa chai maharage mtapanda watu.. mkaa... wachuuzi wa samaki... humo ndani wotee mtashuka mnanuka na mmechafuka kukanyagana.... ebooo
3.makondakta wa magari wachafuuuu zaid ya wa dar... panda gari ya jang'ombe mmmmh. Had kuna radio yao imeweka jingle asubh inasema.... makondakta wa jang'ombe wachafuuuuuu
4.watoto wanakua hawana nidham ya kuwaheshim wakubwa.. unaktana na mwanafnz daladalan kakaa na mzee au mama mzee kachutama.....
5.katika sehem ambayo watu wake ni wabaguzi wa dini na kabila ni waznz na nyerere alishalisema hili hatushangai....
6.sehem ya vurugu za kisiasa za kisasi na kukatana mapanga ni znz.
7. Aaaaaahahahaha lakini kuna mabinti wazuriii muda wote hijab na nikab wajanja tunawapata na kuwatumia kule mashamba ila wana maadili kiana.
TUWE WAKWELI KUSIFIA KITU
 
Hahaaaa..... Ironical thread.... Kuvaa ngozi ya kondoo wakati mbwa mwitu .... Wadanganye baadhi yao...
 
Ukienda Zenji hawachelewi kukuomba mavi 071
 
Huku Tanganyika serikali inawaombea watu wake kila siku wauane kwa ajali, vibaka kuchomana moto na wengine wakilala wafikirie suala la atafikaje mjini, usafiri wa kuingia madirishani na foleni na akifika mjini anawaza atarudi vipi nyumbani.

Tusitegemee jipya mpk leo watu wa mbagala wanaingizwa kama mbuzi kwenye magari duu kazi kweli
 
Back
Top Bottom