G
guest-1790917349
Guest
Da! Sipendezi wangu mbona kuna nafuta nasikia watu wanatumia na zinzota?
Hebu nenda jf doctors
Jukwaa hilo km kuna thread ya hivyo km sikosei
Utapata jibu
Da! Sipendezi wangu mbona kuna nafuta nasikia watu wanatumia na zinzota?
Njoo hapa play time mwenge kwenye maghorofa ya jeshi.Halafu tutajua wapi pakuamia.
Bado tunaruhusiwa kuja????
Teh teh teh teh
Duh maeneo yangu hayo na callabash
Kitambo sn
vip kuhusu bili ndugu ama tutajilipia??
Njoo tukumbushie enzi best....kinywaji kinapanda??
Ujilipie???nini maana ya mualiko??njoo unywe acha mawazo pesa ipo.
Acha woga....usafiri upo na kwa usalama zaidi nitakupeleka police yoyote iliyo karibu yetu upumzike mpaka pale utakapopata akili