Karibuni WanaJamiiforums

Karibuni WanaJamiiforums

Kamba za kunifunga miguuni nadhani unazo.
Ngoja nitafute anaepafajam kwetu nije nae

Acha woga....usafiri upo na kwa usalama zaidi nitakupeleka police yoyote iliyo karibu yetu upumzike mpaka pale utakapopata akili
 
ndio naamka mkuu, kwa nini lakini umecheka hivyo!!!

Wakati nasoma ile post kichwani kulipita haka kamsemo:

'Talent hit a target no one else can hit, but Genius hit a target no one else can see.'

Nimejistukia nacheka tu wallah!
 
Hahahahahahahaaa!
Konda wa b.d mbona mi Sanguine kitambo! Wewe tu hautaki kukubali.

Btw.
Uko wapi tukale bata na misi sitirong?

Usiniaribie jina tafadhari......bado nipo palepale.Karibuni kinywaji wapendwa
 
isije ikawa novida hahahaaaaa by ze wei twaja tunashukuru ngoja jua lipunguepungue kidogo
 
Karibuni kinywaji wana Jf wkend ndo hii....baada ya pilikapilika za week basi ni muda wakujipongeza.

Wale waliosema mwanamke akinywa pombe hana mvuto...karibia hapa upate kinywaji.Mie sipendi uchoyo.

agiza kinywaji ukipendacho nakuja kulipa nipo kwenye foleni hapa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom