Karibuni wadau tupeane kampani. Msijitenge sana

Karibuni wadau tupeane kampani. Msijitenge sana

K. Lilo. Wanawake wote hawa tena wasomi wewe kumbe unatembea na housegeli hata bei ya ondom huijui mpaka unampa mimba.
Juzi tulipokutana pale Mwananyamala kwa kopa ulisahau dawa yako ya mswaki ya whitedent.
Yule muhudumu amekuhifadhia.
 
K. Lilo. Wanawake wote hawa tena wasomi wewe kumbe unatembea na housegeli hata bei ya ondom huijui mpaka unampa mimba.
Juzi tulipokutana pale Mwananyamala kwa kopa ulisahau dawa yako ya mswaki ya whitedent.
Yule muhudumu amekuhifadhia.


🤣🤣🤣🤣kwamba anatumia whitedent🤣🤣...au zile zinazouzwa buku nimesahau jina..wakati matajiri wenzake ni mwendo wa Sensodyne..na mouth wash🤣
 
Kiduku lilo,, nashukuru kwa makaribisho yako mazuri, hakika upo vzr aiseee niseme tu kwamba ile FRIJI niliyoiona pale kwako cjawahi kuiona sehemu nyingine

Ila mkuu kile kinywaji nilichochukua ambacho ulisema umekinunua tsh 2,800,000/= bado cjakimaliza najipigia mdogo mdogo nikitoka kwenye mihangaiko yangu
Shukrani sana mkuu, uko vzr
 
Unajua sometime sisi wengine tunakuwa wapweke sana. Week hii ilikuwa niende Sweden then Norway but itakuwa next week sasa.

Sometime home pana boa. Unakaa tu kuangalia li TV inch 72 peke yako, mara unacheza games nk. Sisi wengine tunalipia DStv Premium inaisha bila kuangaliwa.

Siku moja niliwaita washkaji waje waangalie games zote za EPL siku hiyo nilimleta yule chef mstaafu apige na wadada wake wawili kuandaa msosi na kutuhudumia. Walikuja jamaa zangu wa ofisin 7 tu. Angalau wao walionekana kuenjoy ile TV kubwa ukutani.

Hapa napoishi kuna sebule mbili. Moja ya kuangalizia TV hii ina counter pia na nyingine ya maongezi na utulivu. Member mmoja wa JF alifanikiwa kufika kwangu two weeks ago, maskini alitokwa na machozi ya furaha. Friji yangu anasema ni kama chumba kidogo.

Anyway nilimwambia anaweza ingia ndani ya friji ajihakikishie mwenyewe. Aliingia sekunde kadhaa akatoka anacheka sana.

Tulipeana kampani na baadaye nikamrudisha kwao Sinza. Napenda kuishi na watanzania wenzangu kwa upendo. Maana vyakula na vinywaji vinakuwepo nami nakosa hamu ya kutumia.

Anaambulia tu dada wa kazi kupeleka kwao. Maana naye anakuja na kuondoka. Napenda nipate watu wachache wenye kujielewa waje wapafahamu home. Only smart people.

Na pia jamani natafuta mdada wa kazi huyu niliye naye amepata ujauzito umeshakuwa mkubwa sana. Nahitaji dada ambaye amesoma Hotel Management awe na Diploma.

Afahamu kiingereza, awe mwenye kupendeza. Ajue kuendesha gari awe na valid driving licence. Salary asipate shida. Analipwa kwa terms of USD na kiwango wanacholipwa wafanyakazi wa USA.

Ambaye upo serious ani PM. ila asiwe mtu ambaye ana nia nyingine please, kazi atafanya asubuhi saa mbili mpaka saa 10:30 jioni. Arudi kwao. Asikae mbali sana na Oysterbay.
Ukituliaga home kwako keko magurumbasi kulivyo na joto kali unakaa zako nje juu ya yale matofali na msuli wako basi hapo unatiririka tu jamiiforums na ki itel chako unashusha ndondo kama uko ulaya
 
"Member mmoja wa JF alifanikiwa kufika kwangu two weeks ago, maskini alitokwa na machozi ya furaha. Friji yangu anasema ni kama chumba kidogo"
dah!!!!aiseee.....
Najiuliza huyo member atakuwa nani?!
 
Back
Top Bottom