Karibuni wadau tupeane kampani. Msijitenge sana

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,401
Unajua sometime sisi wengine tunakuwa wapweke sana. Week hii ilikuwa niende Sweden then Norway but itakuwa next week sasa.

Sometime home pana boa. Unakaa tu kuangalia li TV inch 72 peke yako, mara unacheza games nk. Sisi wengine tunalipia DStv Premium inaisha bila kuangaliwa.

Siku moja niliwaita washkaji waje waangalie games zote za EPL siku hiyo nilimleta yule chef mstaafu apige na wadada wake wawili kuandaa msosi na kutuhudumia. Walikuja jamaa zangu wa ofisin 7 tu. Angalau wao walionekana kuenjoy ile TV kubwa ukutani.

Hapa napoishi kuna sebule mbili. Moja ya kuangalizia TV hii ina counter pia na nyingine ya maongezi na utulivu. Member mmoja wa JF alifanikiwa kufika kwangu two weeks ago, maskini alitokwa na machozi ya furaha. Friji yangu anasema ni kama chumba kidogo.

Anyway nilimwambia anaweza ingia ndani ya friji ajihakikishie mwenyewe. Aliingia sekunde kadhaa akatoka anacheka sana.

Tulipeana kampani na baadaye nikamrudisha kwao Sinza. Napenda kuishi na watanzania wenzangu kwa upendo. Maana vyakula na vinywaji vinakuwepo nami nakosa hamu ya kutumia.

Anaambulia tu dada wa kazi kupeleka kwao. Maana naye anakuja na kuondoka. Napenda nipate watu wachache wenye kujielewa waje wapafahamu home. Only smart people.

Na pia jamani natafuta mdada wa kazi huyu niliye naye amepata ujauzito umeshakuwa mkubwa sana. Nahitaji dada ambaye amesoma Hotel Management awe na Diploma.

Afahamu kiingereza, awe mwenye kupendeza. Ajue kuendesha gari awe na valid driving licence. Salary asipate shida. Analipwa kwa terms of USD na kiwango wanacholipwa wafanyakazi wa USA.

Ambaye upo serious ani PM. ila asiwe mtu ambaye ana nia nyingine please, kazi atafanya asubuhi saa mbili mpaka saa 10:30 jioni. Arudi kwao. Asikae mbali sana na Oysterbay.
 
Ahahahahhah watu bana kwa Nini kwa uwezo ulionao usisaidie wenye uhitaji nawe utabarikiwa zaidi. Kuliko kuwaza sana Anasa na luxurious life
 
Unajua sometime sisi wengine tunakuwa wapweke sana. Week hii ilikuwa niende Sweden then Norway but itakuwa next week sasa.

Sometime home panaboa. Unakaa tu kuangalia li TV inch 72 peke yako, mara unacheza games nk. Sisi wengine tunalipia DStv Premium inaisha bila kuangaliwa.

Siku moja niliwaita washkaji waje waangalie games zote za EPL siku hiyo nlimleta yule chef mstaafu apige na wadada wake wawili kuandaa msosi na kutuhudumia. Walikuja jamaa zangu wa ofisin 7 tu. Aangalau wao walionekana kuenjoy ile TV kubwa ukutani.

Hapa napoishi kuna sebule mbili. Moja ya kuangalizia TV hii ina counter pia na nyingine ya maongezi na utulivu. Member mmoja wa JF alifanikiwa kufika kwangu two weeks ago, maskini alitokwa na machozi ya furaha. Friji yangu anasema ni kama chumba kidogo.

Anyway nilimwambia anaweza ingia ndani ya friji ajihakikishie mwenyewe. Aliingia sekunde kadhaa akatoka anacheka sana.

Tulipeana kampani na baadaye nikamrudisha kwao Sinza. Napenda kuishi na watanzania wenzangu kwa upendo. Maana vyakula na vinywaji vinakuwepo nami nakosa hamu ya kutumia.

Anaambulia tu dada wa kazi kupeleka kwao. Maana naye anakuja na kuondoka. Napenda nipate watu wachache wenye kujielewa waje wapafahamu home. Only smart people.

Na pia jamani natafuta mdada wa kazi huyu niliye naye amepata ujauzito umeshakuwa mkubwa sana. Nahitaji dada ambaye amesoma Hotel Management awe na Diploma.

Afahamu kiingereza, awe mwenye kupendeza. Ajue kuendesha gari awe na valid driving licence. Salary asipate shida. Analipwa kwa terms of USD na kiwango wanacholipwa wafanyakazi wa USA.

Ambaye upo serious ani PM. ila asiwe mtu ambaye ana nia nyingine please, kazi atafanya asubuhi saa mbili mpaka saa 10:30 jioni. Arudi kwao. Asikae mbali sana na Oysterbay.
upo karibu kufa
 
Back
Top Bottom