Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,210
- 6,768
- Thread starter
- #61
Sipendi kuwa na majivuno ndugu yangu ndo maanna huwa siwatajii mshahara wangu zaidi zaidi nawaambia tu ni zaidi ya milion 40 kwa mwezi ukiacha marupurupu kibao na safari za nje ya nchi kila mara.hata napowaaambia magari yangu nawaambia si kwa kujivuna ni katika kuelezea tu.
Pamoja sana mkuu..
Wewe ni boss usie na majibuno..unawatia watu hasira nao wakasake watumie as you Do




