Karibuni Ukerewe

Mamba anafugika vizuri tu wala sio uchawi
Ila ni mnyama tu anaweza akabadilika mda wowote


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Aliyeandika kuwa Dogo hana AKA inabidi hamtake radhi.
 
Hii kawaida sana mbona kwa wakerewe ,na huwa wanawatuma sana hao mamba kama silaha za maangamizi,walishawahi kumtorosha mtuhumiwa kwa kumtumia mamba
 
Picha kama hiyo muipigieni debe mabeberu waje kutalii na kushuhudia huyo dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…