Karibuni UDSM makontena mapya yameanza mwagika

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,243
39,171
Leo nilikuwa chuo pale, ndo natoka hapa sasa. Jaman masela kuna vyombo vipya 1st Year vimemwagwa kila type. Ipo kazi kwenu mabaharia. Watoto bado wanaonekana wabichi kabisa, mnato utakwepo msije lalama sikusema nimewambia mapema kabisa, kuanzia J3 vyombo vyote na vya mkoa vitakua in da building.

Mimi nimeopoa kimoja tayari wakuu baada ya kumfata na kustory naye akanambia katokea Tanga na Dar ndugu zake wapo mbali sana na chuo, yeye kafikia lodge. Nikapatwa na huruma ndiyo kumwambia twende kwangu kuna chumba cha ziada atakuwa anakaa mpaka atakapoanza chuo rasmi akakubali. Ndiyo nipo naye hapa tunaelekea kwangu mapema akapumzike mtoto wa watu.

Wanaume wa mikoani poleni sana, kama demu wako kaja chuo huku hesabu maumivu tayari huna demu. Mademu zenu wakija huku ni wetu. J3 tukutane Mlimani.
 
Ww unaonaje
Huyo manzi umeanza kumpanga tangu chuoni mnaenda hadi geto unakula mzigo, hapo utakuwa hujala kimasihara.

Kula kimasihara ni pale umemuona tu unamwambia nisindikize toi then unakula mzigo. Hapo ndo kimasihara sasa
 
Sawa analyst
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom