Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
- Thread starter
- #21
Na mimi nipo kwenye mihogo na mishikaki... Huku kwa Tito, muulizie nilipo atakuonesha
Nakuja nloshakuona c ndo wewe umevaa.....
Na mimi nipo kwenye mihogo na mishikaki... Huku kwa Tito, muulizie nilipo atakuonesha
haya twin mzima wewe lakini!!?? maana nyumba moja but hatuonani!!!! full kupishana vyumbaJamani twin c ulisema unaoga mi ntangulie mpaka umalize kujiremba