SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,111 Reaction score 75,566 Oct 25, 2017 #21 Chupayamaji said: Huyo samaki vepe mbna kafunikwa Click to expand... Siyo samaki hayo ni makinikia ya samaki, samaki keshaliwa kitaaaambo tu.
Chupayamaji said: Huyo samaki vepe mbna kafunikwa Click to expand... Siyo samaki hayo ni makinikia ya samaki, samaki keshaliwa kitaaaambo tu.
GIUSEPPE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 5,239 Reaction score 6,242 Oct 26, 2017 #22 Ukiona samaki katiwa pilipili nyingi, mi ndimu kibao, kaungwa na kitunguu saumu pamoja na tangawizi, we jua alikuwa kesha anza kuchina huyo.
Ukiona samaki katiwa pilipili nyingi, mi ndimu kibao, kaungwa na kitunguu saumu pamoja na tangawizi, we jua alikuwa kesha anza kuchina huyo.
josephantcharles Member Joined Aug 16, 2015 Posts 88 Reaction score 27 Oct 26, 2017 #23 Maisha ya kuigiza hatari. Mtaigiza sana. Maskini Nyie mpendao maisha ya kuigiza. Mnajidanganya wenyewe sisi tuna safisha macho na maisha yana songa
Maisha ya kuigiza hatari. Mtaigiza sana. Maskini Nyie mpendao maisha ya kuigiza. Mnajidanganya wenyewe sisi tuna safisha macho na maisha yana songa
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Oct 28, 2017 #24 josephantcharles said: Maisha ya kuigiza hatari. Mtaigiza sana. Maskini Nyie mpendao maisha ya kuigiza. Mnajidanganya wenyewe sisi tuna safisha macho na maisha yana songa Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
josephantcharles said: Maisha ya kuigiza hatari. Mtaigiza sana. Maskini Nyie mpendao maisha ya kuigiza. Mnajidanganya wenyewe sisi tuna safisha macho na maisha yana songa Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]