Raimundo JF-Expert Member May 23, 2009 13,416 12,614 May 30, 2016 #2 Mchuzi kama wa mawese huo, hii misosi nimepiga sana DRC miaka hiyo. Kule hata Nyani, Tumbili, Mbwa etc ni msosi tu.
Mchuzi kama wa mawese huo, hii misosi nimepiga sana DRC miaka hiyo. Kule hata Nyani, Tumbili, Mbwa etc ni msosi tu.
Dexta JF-Expert Member Jan 4, 2015 2,031 5,046 May 30, 2016 Thread starter #4 Jambazi said: Nyama ya nyoka? Click to expand... Ndiyo....ni tamu sana