Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,654
- 5,044
Ngoja na mm nakujaAhsante Sana mkuu nimewahi seat, ngoja nikakusanye maandishi Google nitarudi.
Nb: Biblia imeeleza kila kitu kuhusu maisha ya hapa ulimwenguni sema inategemea na ufahamu na uhusiano wake na roho mtakatifu kwa anae isoma.
karibu mkuuNgoja na mm nakuja
Asante karibu kiongozi kwa mirejesho utakayoipata!.Ahsante Sana mkuu nimewahi seat, ngoja nikakusanye maandishi Google nitarudi.
Nb: Biblia imeeleza kila kitu kuhusu maisha ya hapa ulimwenguni sema inategemea na ufahamu na uhusiano wake na roho mtakatifu kwa anae isoma.
Haya chimbua mondi uje kutuletea tunasubiri kwa hamu mchango wako!Ngoja na mm nakuja
Hata wewe pia unakaribishwa Na jambo lolote!.Tusubiri wajuvi waje na maoni
Kweli mkuu!.Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Ni kwamba!.Ukitaka upatie swali kwanza ulielewe ,Mm nimetoka kapa [emoji112]
Kutokana Na ubusy wangu!.Salamu Wana jukwaa!. Tangu nijiunge Na JF Leo ni mara yangu ya kwanza ku-post humu jukwaani hivyo basi vumilieni mwandiko wangu sababu sijakaa ki uandishi!.
Moja kwa moja twende kwenye mada. Kumekuwa na upotoshwaji mkubwa kuhusu dunia yetu na ulimwengu kwa ujumla. Baadhi ya makundi machache ya watu na madhehebu ya kidini yamekuwa yakiwaelekeza wafuasi wao vitu vingi ambavyo si sahihi kuhusu
1. Mungu
2. Siri ya kifo
3. Ufahamu wa uumbaji
4. Viumbe mbadala wa dunia hii
5. Maisha nje ya dunia
Haya ni baadhi ya mambo ambayo makundi mengi yamekuwa yakipotosha!
Kuna visa vingi ambavyo vimehusishwa na watu wakiuliza chanzo cha huu upotoshwaji.
Nadhani JF ni sehemu huru ambayo watu wenye maoni mbalimbali na ujuzi wa mambo watakuja kutoaa nyongo kuhusu huu ulimwengu na mambo ambayo waliweza kuyashuhudia!
Karibuni kwa mjadala!
NB: Information za uhakika ambazo mtu binafsi unafahamu au unaelewa kuhusu ulimwengu au idea zako ndizo ambazo tunazihitaji humu!!.(conspiracy theory hatutazihitaji)
Karibuni wanajamvi
Mie mwenyewe nimerudia kusoma mara mbili nikaambulia patupu maana kama sio conspiracy theory kuna ambaye ameshawahi toka nje ya dunia huku jamvini, kuna ambaye ameshakufa akarudi tena, kuna ambaye ameshawahi muona Mungu live? Zote huku zitakua hadithi tu ila ukweli mleta mada sijaelewa swali lake haswaUkitaka upatie swali kwanza ulielewe ,Mm nimetoka kapa [emoji112]
Mkuu umetupa wakati mgumu kwa sababu ya msimamo wako hutaki conspiracy theories unamaanisha kuna mtu/watu wameshakuta na Mungu mubashara? Kufa Kisha kufufuka na akili zao sawia bila hitirafu? Inaoneka umewahi toka duniani na kupiga misire huko nje na hao jamaa zako aliens? Sasa mkuu kwanini usitupe elim juu ya masuala hayo matano? Inaoneka unamengi umeyoshuhudia na kushiriki kama jina lako linavyoonekana.Salamu Wana jukwaa!. Tangu nijiunge Na JF Leo ni mara yangu ya kwanza ku-post humu jukwaani hivyo basi vumilieni mwandiko wangu sababu sijakaa ki uandishi!.