donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,092
- 21,773
Hahah nambie we jamaaDon kwenye ubora wako
Maana yake ni life la bora liende mkuuLife la kiparyanda ndio nini?
Mtu mzimakuu, ilimradi tushtue utumboMkuu ni breakfast ya mtu mzima au mtoto duh
Ni sababu ya hili fukuto la Magufuli au ndio hali ya maisha ya siku zote aisee..watu wengine kama sisi tukikutembelea tutasababisha hasara sana hah hahMtu mzimakuu, ilimradi tushtue utumbo
Hahaha si unaona wimbi la mkuu wa kambi mkuuNi sababu ya hili fukuto la Magufuli au ndio hali ya maisha ya siku zote aisee..watu wengine kama sisi tukikutembelea tutasababisha hasara sana hah hah
ni fresh asee naona unatupia vitu adimu mkuuHahah nambie we jamaa
Shukran mkuuUsipendelee sana mikate hua inafunga choo kikubwa
Piga hii kitu
Aah wapi mkuu, magumash tuuni fresh asee naona unatupia vitu adimu mkuu