Karibuni Tabora asali inakotokea

Naanza hiyo dose asap alaf tufanye test kama nitakuweza ....Daah!! kasie weyee

Hahahahaaa Kasie Matataaa mie ujue.... sikusikii ila ndo nilivyo hehehehehhehee haya kila la kheri.
 
Huyu anaitwa Babu Njenje au kwa wengi wetu Mzee Njenje.

Namfahamu kwa miaka mingi ila sijui hata jina lake haswa anaitwa nani.

Kumbe wewe Ni Mwanike wa Kukaya. Mie bahati mbaya si mwenyeji wa Tabora Mjini zaidi ya kupita na kwenda kwetu Sikonge ambako siku hizi mitaa ina LAMI eti. Mitaani kwa akina Mwana Nasorro WIZAGA aka Said Tumbotumbo (RIP).

Asante kwa kuturusha Mkoa wetu wa Tabora.



Nani wamleta, M**** nina kumlye Masumle.... Wanyamwezi sometimes tuna matusi. Mwinamila hapo juu naona aliona aupoze maana Original ni laana tupu. Ukangala ulegezya.... nini wanaimba?

Hata sijui anaitwa nani mie huwa naupenda sana huu wimbo, pale unapopigwa nikipata nafasi ya kuucheza naucheza vizuri huku nikiringa na kujinyonga kinyamwezi hahahahahaha raha sana.

I love being nyamwezi.
 
Sasa ukishuhudia waswezi ndy balaa na nyimbo zao.
 

Hahahahaaa wewee usiite hiyo mizimu, mizimu ya kinyamwezi ni wakali mnoo na zile ngoma zao za madogoli mie sizipendagi kweli.

Haya ulale unono.
 
Mkuu, mtaa wako ni upi?
 
Hahahahaaa wewee usiite hiyo mizimu, mizimu ya kinyamwezi ni wakali mnoo na zile ngoma zao za madogoli mie sizipendagi kweli.

Haya ulale unono.
Kasie mizimu lazima niite nikutambulishe wakujue, utembeapo wawe na wewe, wakurunde, wakusaidie. Vumilia hivo hivo ata km huzipendi ngoma zetu lkn ndio kwetu mupenzi wangu.

Asante my dear. Na wewe ulale unono. Olote jiloti visoga....

Nakotogwile sn mkima wane ewe...
 
Waswezi ni Shida Mwana wane. Nawafahamu sana hao wote na King wao zamani alikuwa pale Itetemya akiitwa Mwana Lwelwe ingawa alikuwa pia na MIGABO. Mara sijui kuna Mabisa... Too much Mizimu kwetu Tabora.
Sasa ukishuhudia waswezi ndy balaa na nyimbo zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…