Karibuni St John main campus Mazengo

Karibuni St John main campus Mazengo

Acha kuwadanganya Watanzania wewe. Chuo hiko kanjanja kimepigwa kufuli na TCU kisidahili wanafunzi mwaka wa masomo 2017/2018 katika kampasi zake za Msalato na Marks. Sasa unataka wanafunzi waende huko kulima maboga na kupika chimpungu?
Zilifungiwa baadhi ya Compus zake ambazo ni hizo ulizo taja hapo lakini main Compus bado inatoa huduma.

mafisadi hayana chama
 
Hello group kwa wale form six wanaopenda kusoma kozi hasa za afya karibu chuo kikuu cha st john university

Bachelor of pharmacy

Bachelor of science in nursing nafazi ni chacheee

Niulize chochotee nitakujibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni moja kati ya vyuo vbovu ambavyo serikali imeviacha vidahili chuo kina walimu wakuunga unga unakuta internal medicine eti anafundisha anatomy na chuo kimejaa rushwa kuanzia ya pesa mpaka ya ngono na hawakemew especially hyo pharmacy anayosoma nawashaur kwa mabinti wanaotaka kuxoma pharmacy hapo kama unapesa ya kuhonga kaxome au kama uko tyr kutoa rushwa ya ngono kaxome najua muanzsha thread anayajua hayo yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muache kudanganywa ni kwel mpaka xx hamna walmu ww itakuwa anatomy mnafundishwa na internal medicine meremo kaz kupeana assigment tu kila kitu afadhali hta nursing kdg lkn x kwa sifa mnazojpaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TCU WANADAI HAKUNA WALIMU WA KUTOSHA JAPO NI UKAGUZI WA SIKU NYINGI SASA HV KUNA WALIMU WA KUTOSHA HVO WIKI HII KUNA KIKAO NA TCU NA CHUO HUENDA WAKARUHUSU UDAHILI

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee embu limehen swala la mwalmu wenu wa physical chemistry kuomba rushwa ya ngono na pesa ili mtu upite jina lake nmelhfadh tu ila jambo hl linaniumaga xn isitoshe inasemekana lecture huyo ni mwathirika lkn kazi yake ni kuomba rushwa ya ngono kwa mabinti ili upite na jambo liko wazi na uongoz wa chuo haumkemei
Ungejua kwanini wamefungiwa usingejaribu kuropoka ovyoo

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina maana yoyote hiyo. What is main campus wakati matawi yote ni ukanjanja mtupu? Mwongozo wanapata wapi? Like Father like Son. Usipoteze muda kusoma chuo cha makanjanja wakati kuna credible universities hapa nchini.
Mkuu tukifuata ushauri wako basi hakuna sababu ya kuomba UDSM na vyuo vingine ambavyo program zao at least moja imezuiwa kudahili na TCU!!!!!!
 
Ni moja kati ya vyuo vbovu ambavyo serikali imeviacha vidahili chuo kina walimu wakuunga unga unakuta internal medicine eti anafundisha anatomy na chuo kimejaa rushwa kuanzia ya pesa mpaka ya ngono na hawakemew especially hyo pharmacy anayosoma nawashaur kwa mabinti wanaotaka kuxoma pharmacy hapo kama unapesa ya kuhonga kaxome au kama uko tyr kutoa rushwa ya ngono kaxome najua muanzsha thread anayajua hayo yote

Sent using Jamii Forums mobile app
Internal medicine ndo nani?
 
Wakuu DEADLINE IMEPITA VIPI NINAWEZA PATA NAFASI YA MEDICAL LAB NAANZAJE MSAADA
 
Back
Top Bottom